title : Mwanza mko tayari? Her initiative inakuletea PANDA msimu wa nne
kiungo : Mwanza mko tayari? Her initiative inakuletea PANDA msimu wa nne
Mwanza mko tayari? Her initiative inakuletea PANDA msimu wa nne
Mwanza mko tayari? Her initiative inakuletea PANDA msimu wa nne "Innovation in everything", (tamasha la ujasiriamali , uvumbuzi na ajira kwa wanafunzi wa kike vyuo vya Sauti, Cbe, Btc, Feta, Bugando) litakalofanyika katika ukumbi wa M 12 Chuo kikuu cha St Agustine Sauti Mwanza.Tarehe 2 December 2017 kutakua na waongeaji , muziki zawadi na selfies zakutosha Mtag rafiki aliye ndani ya Rock city Mwambie hii si ya kukosa @her_initiative @her_initiative @Kent_reen Kwa mahitaji ya meza za maonyesho ya bidhaa na Tshirt piga simu (0756540156/0654359701)Ukija na mwenzako hakika itapendeza
#hercash
#herinnovation
#pandanauvumbuzi
Hivyo makala Mwanza mko tayari? Her initiative inakuletea PANDA msimu wa nne
yaani makala yote Mwanza mko tayari? Her initiative inakuletea PANDA msimu wa nne Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwanza mko tayari? Her initiative inakuletea PANDA msimu wa nne mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mwanza-mko-tayari-her-initiative.html
0 Response to "Mwanza mko tayari? Her initiative inakuletea PANDA msimu wa nne"
Post a Comment