MGHANA AFUNGA USAJILI WA AZAM FC

MGHANA AFUNGA USAJILI WA AZAM FC - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MGHANA AFUNGA USAJILI WA AZAM FC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MGHANA AFUNGA USAJILI WA AZAM FC
kiungo : MGHANA AFUNGA USAJILI WA AZAM FC

soma pia


MGHANA AFUNGA USAJILI WA AZAM FC


 Waandishi wa habari za michezo 
Msemaji wa klabu ya Azam Fc Jaffar Idd.


Uongozi wa Klabu ya Azam umesema kuwa kwa sasa hautasajili tena mchezaji mwingine ndani ya kikosi hicho baada ya kumalizana na Mghana, Bernard Arthur na kumsainisha mkataba wa miaka miwili.

Msemaji wa Azam, Jaffar Idd amesema: “Kwa sasa ndiyo tumefunga usajili kwenye kikosi chetu, hatutasajili tena mchezaji mwingine kwa sababu nafasi zimejaa, na hivi karibuni tumemuongeza mkataba kiungo wetu, Steven Kingue Mpondo raia wa Cameroon.”

Tamko hilo wamelitoa wakati dirisha dogo la usajili likiendelea kuwa hewani ambapo lilifunguliwa Novemba 15, mwaka huu na litafungwa mwezi ujao tarehe 15.


Hivyo makala MGHANA AFUNGA USAJILI WA AZAM FC

yaani makala yote MGHANA AFUNGA USAJILI WA AZAM FC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MGHANA AFUNGA USAJILI WA AZAM FC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mghana-afunga-usajili-wa-azam-fc.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MGHANA AFUNGA USAJILI WA AZAM FC"

Post a Comment