title : MOUNT MERU RICKERNEST BAND ILIVYOWAKUNA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE
kiungo : MOUNT MERU RICKERNEST BAND ILIVYOWAKUNA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE
MOUNT MERU RICKERNEST BAND ILIVYOWAKUNA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE
Waimbaji wa bendi ya Mount Meru Rickernest wakiongozwa na Rais wa Bendi hiyo Fabrice Kulialia (Teminator wa masauti) tatu kulia wakiwa wanashambulia jukwaa wekendi hii ndani ya ukumbi wa Triple A (picha na Woindeshizza blog )
Mara moja moja kujitokeza kushuhudia bendi sio mbaya apa mmiliki walibeneke la kaskazini blog Woinde shizza katik kati nikiwa na mashabiki zangu tukiendelea kuburudika na bendi hii
Yalikuwa ni mambo ya sebene tu ,ukifika jijini Arusha usiulize pa kwenda ni Triple A Club tu kwa burudani za aina yote kuanzia vinywaji ,disco la nguvu pamoja na live band kutoka bendi ya Mount Meru Rickernest Music (picha na Woinde Shizza,Arusha )
katika bendi hiii pia kuna wadada wa kike nikimaanisha wanenguaji hapa wakifanya yao.
Hivyo makala MOUNT MERU RICKERNEST BAND ILIVYOWAKUNA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE
yaani makala yote MOUNT MERU RICKERNEST BAND ILIVYOWAKUNA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MOUNT MERU RICKERNEST BAND ILIVYOWAKUNA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mount-meru-rickernest-band-ilivyowakuna.html
0 Response to "MOUNT MERU RICKERNEST BAND ILIVYOWAKUNA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE"
Post a Comment