Morocco atangaza kikosi cha Zanzibar Heroes. Ninja wa Yanga ndani ya nyumba

Morocco atangaza kikosi cha Zanzibar Heroes. Ninja wa Yanga ndani ya nyumba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Morocco atangaza kikosi cha Zanzibar Heroes. Ninja wa Yanga ndani ya nyumba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Morocco atangaza kikosi cha Zanzibar Heroes. Ninja wa Yanga ndani ya nyumba
kiungo : Morocco atangaza kikosi cha Zanzibar Heroes. Ninja wa Yanga ndani ya nyumba

soma pia


Morocco atangaza kikosi cha Zanzibar Heroes. Ninja wa Yanga ndani ya nyumba


Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes),Hemed Suleiman (Morocco) ametangaza kikosi cha wachezaji 30 kwa ajili ya maandalizi ya kujiandaa ma Mashindano ya CECAFA Chalenj CUP yanayotarajiwa kufanyika Novemba 25 hadi Disemba 9, 2017 nchini Kenya.

WALINDA MLANGO 
Ahmed Ali "Salula" (Taifa ya Jang'ombe)
Nassor Mrisho (Okapi)
Mohammed Abdulrahman "Wawesha" (JKU)

WALINZI 
Abdallah Haji "Ninja" (Yanga)
Mohd Othman Mmanga (Polisi)
Ibrahimm Mohammed "Sangula" (Jang'ombe Boys)
Adeyum Saleh "Machupa" (Kagera Sugar)
Haji Mwinyi Ngwali (Yanga)
Abubakar Ame "Luiz" (Mlandege)
Issa Haidar "Mwalala" (JKU)
Abdulla Kheir "Sebo" (Azam)
Ibrahim Abdallah (Taifa ya Jang'ombe)

VIUNGO
Abdul-swamad Kassim (Miembeni City)
Abdul Aziz Makame (Taifa ya Jang'ombe)
Mudathir Yahya (Singida United)
Omar Juma "Zimbwe" (Chipukizi)
Mohd Issa "Banka" (Mtibwa Sugar)
Amour Suleiman "Pwina" (JKU)
Mbarouk Marshed (Super Falcon)
Ali Yahya (Academy Spain)
Hamad Mshamata (Chuoni)
Suleiman Kassim "Selembe" (Majimaji)

WASHAMBULIAJI 
Kassim Suleiman (Prisons)
Matteo Anthony (Yanga)
Ali Badru (Taifa ya Jang'ombe)
Feisal Salum (JKU)
Salum Songoro (KVZ)
Khamis Mussa "Rais" (Jang'ombe boys)
Mwalimu Mohd (Jamhuri)
Ibrahim Hamad Hilika (Zimamoto) 


Hivyo makala Morocco atangaza kikosi cha Zanzibar Heroes. Ninja wa Yanga ndani ya nyumba

yaani makala yote Morocco atangaza kikosi cha Zanzibar Heroes. Ninja wa Yanga ndani ya nyumba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Morocco atangaza kikosi cha Zanzibar Heroes. Ninja wa Yanga ndani ya nyumba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/morocco-atangaza-kikosi-cha-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Morocco atangaza kikosi cha Zanzibar Heroes. Ninja wa Yanga ndani ya nyumba"

Post a Comment