title : MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AZINDUA NAMBENE CUP
kiungo : MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AZINDUA NAMBENE CUP
MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AZINDUA NAMBENE CUP
Mbunge wa Wilaya ya Ileje, Janet Mbeneakizungumza wakati wa Uzinduzi wa Nambene Cup inayoshirikisha timu za Wilaya nzima kutoka kila Kata ambapo Mbunge huyo ametoa ufadhili wa Jezi na Zawadi ya Mshindi wa kwanza mpaka wa tatu wafungaji bora.
Mbunge wa Ileje akisalimia timu zilizojitokeza kushiriki Nambene Cup aliyoiandaa katika Wilaya yake kama hatua za kukuza michezo na kuleta Umoja kwa Jamii
Wachezaji wa Timu Mbalimbali zinazoshiriki Nambene Cup wakiwa uwanjani wakijandaa kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi
Wacheaji wa timu zilizoshiriki uzinduzi wa Nambene Cup wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo wa ufunguzi.
Mbunge wa Ileje Janet Mbene akifurahi wa na Watoto waliofika katika uzinduzi wa Nambene Cup
Hivyo makala MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AZINDUA NAMBENE CUP
yaani makala yote MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AZINDUA NAMBENE CUP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AZINDUA NAMBENE CUP mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mbunge-wa-ileje-janet-mbene-azindua.html
0 Response to "MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AZINDUA NAMBENE CUP"
Post a Comment