title : Mama Salma Kikwete ashiriki ufunguzi wa mkutano "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" mjini Beijing nchini China.
kiungo : Mama Salma Kikwete ashiriki ufunguzi wa mkutano "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" mjini Beijing nchini China.
Mama Salma Kikwete ashiriki ufunguzi wa mkutano "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" mjini Beijing nchini China.
Mmoja wa wadau akizungumza kwenye mkutano huo wa "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" ulioanza kufanyika leo Beijing nchini China,ambapo Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mhe. Mama Salma Kikwete (MB),ameshiriki
Washiriki wa mkutano "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ndani ya ukumbi huo.
Pichani kulia ni Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mhe. Mama Salma Kikwete (MB), pamoja na washiriki wengine wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" uliofunguliwa leo mjini Beijing nchini China.
Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mhe. Mama Salma Kikwete (MB), akiwa katika picha ya pamoja na mshiriki mwenza wa mkutano wa "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" uliofunguliwa leo mjini Beijing nchini China.
Hivyo makala Mama Salma Kikwete ashiriki ufunguzi wa mkutano "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" mjini Beijing nchini China.
yaani makala yote Mama Salma Kikwete ashiriki ufunguzi wa mkutano "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" mjini Beijing nchini China. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mama Salma Kikwete ashiriki ufunguzi wa mkutano "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" mjini Beijing nchini China. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mama-salma-kikwete-ashiriki-ufunguzi-wa.html
0 Response to "Mama Salma Kikwete ashiriki ufunguzi wa mkutano "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" mjini Beijing nchini China."
Post a Comment