Makatibu wakuu nchini wafanya Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji nchini China

Makatibu wakuu nchini wafanya Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji nchini China - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makatibu wakuu nchini wafanya Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji nchini China, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makatibu wakuu nchini wafanya Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji nchini China
kiungo : Makatibu wakuu nchini wafanya Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji nchini China

soma pia


Makatibu wakuu nchini wafanya Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji nchini China

Katibu Mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, Prof. Elisante Ole Gabriel pamoja na Katibu mkuu Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Prof Adolf Mkenda wakutana na wawekezaji kutoka makampuni mbalimbali kwenye Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji uliofanyika Ubalozi wa Tanzania  nchini China. 
Mkutano huu umehudhuriwa na wawakilishi wa makampuni 100 yenye nia ya kuwekeza Tanzania. Aidha wamekutana na Uongozi wa Benki ya AIIB iliyoanzishwa kutoa mikopo kwa miradi ya miundombinu kwa nchi wanachama wa Belt&Road. Benki hiyo imeikaribisha Tanzania kujiunga nayo ili iweze kufaidika na fursa za mikopo nafuu. 
Vilevile, wamekutana na Uongozi wa Kampuni ya Hainan Group (H&A Group) inayomiliki mashirika mbalimbali ya ndege na mahoteli. China imeeleza kwamba katika miaka mitano ijayo itanunua bidhaa kutoka Nje ya nchi zenye thamani ya Dola za Kimarekani Trilioni 24 hivyo nchi za Afrika zina fursa ya kunufaika na soko lake endapo zitajipanga. 
Kwenye mkutano huo China imeahidi kuendeleza ushirikiano na Tanzania katika nyanja za uchumi hususan kwenye ujenzi wa miundombinu ikiwemo ujenzi wa Bagamoyo SEZ. 
Pia China imeeleza kwamba inaunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano kutekeleza miradi mingine ya ujenzi wa miundombinu.
 Katibu Mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, Prof. Elisante Ole Gabriel pamoja akiongea  na wawekezaji kutoka makampuni mbalimbali kwenye Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji uliofanyika Ubalozi wa Tanzania  nchini China. 
 wawakilishi wa makampuni 100 yenye nia ya kuwekeza Tanzania. 
 Katibu mkuu Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Prof Adolf Mkenda akiongea na wawekezaji kutoka makampuni mbalimbali kwenye Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji uliofanyika Ubalozi wa Tanzania  nchini China. 
Balozi wa Tanzania nchini China Mhe. Mbelwa Kairuki akiwa na maafisa wa ubalozi pamoja na wawakilishi wa makampuni 100 yenye nia ya kuwekeza Tanzania. 


Hivyo makala Makatibu wakuu nchini wafanya Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji nchini China

yaani makala yote Makatibu wakuu nchini wafanya Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji nchini China Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makatibu wakuu nchini wafanya Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji nchini China mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/makatibu-wakuu-nchini-wafanya-mkutano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makatibu wakuu nchini wafanya Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji nchini China"

Post a Comment