title : MAHAFALI YA TISA YA KIDATO CHA NNE KOM SEKONDARI 2017 YAFANA
kiungo : MAHAFALI YA TISA YA KIDATO CHA NNE KOM SEKONDARI 2017 YAFANA
MAHAFALI YA TISA YA KIDATO CHA NNE KOM SEKONDARI 2017 YAFANA
Shule ya Sekondari Kom iliyopo mjini Shinyanga leo Jumamosi Novemba 11,2017 imefanya mahafali ya 9 ya kidato cha nne tangu kuanzishwa kwa shule hiyo mwaka 2006.
Mgeni rasmi katika mahafali ya tisa ya kidato cha nne mwaka 2017 yaliyohudhuriwa na wazazi na wageni mbalimbali alikuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Josephine Matiro.
Akizungumza katika mahafali hayo,mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro alisema mabadiliko yoyote yanaletwa na ushirikiano hivyo kupitia ushirikiano.lisema shule hiyo imekuwa maarufu nchini kutokana na elimu bora inayotoa na kutokana na hali hiyo imeupatia sifa mkoa wa Shinyanga.
“Sisi kama serikali tunajivunia uwepo wa shule hii katika mazingira yetu kwani inatutangaza, tupo tayari kushirikiana nanyi katika kutatua changamoto zinazojitokeza ili kusukuma gurudumu la maendeleo”,alieleza Matiro.“Tupo tayari kuhakikisha kuwa tunashirikiana na sekta binafsi na milango yetu ipo wazi na panapotokea changamoto msisite kutufikia”,alisema.
Mgeni rasmi,Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akikata utepe wakati wa mahafali ya tisa ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Kom.Kulia ni mwenyekiti wa bodi ya shule Peter Kugulu,kushoto ni mkurugenzi wa shule ya Sekondari Kom,Jackton Koyi
Wahitimu wakiingia ukumbini
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akimlisha keki mhitimu wa kidato cha nne Dickson Nyansika .
Wanafunzi wakiimba shairi
Hivyo makala MAHAFALI YA TISA YA KIDATO CHA NNE KOM SEKONDARI 2017 YAFANA
yaani makala yote MAHAFALI YA TISA YA KIDATO CHA NNE KOM SEKONDARI 2017 YAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAHAFALI YA TISA YA KIDATO CHA NNE KOM SEKONDARI 2017 YAFANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mahafali-ya-tisa-ya-kidato-cha-nne-kom.html
0 Response to "MAHAFALI YA TISA YA KIDATO CHA NNE KOM SEKONDARI 2017 YAFANA"
Post a Comment