Korea Kaskazi Yarusha Kombora La Masafa Marefu Zaidi Linaloweza Kutua Sehemu Yoyote Duniani

Korea Kaskazi Yarusha Kombora La Masafa Marefu Zaidi Linaloweza Kutua Sehemu Yoyote Duniani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Korea Kaskazi Yarusha Kombora La Masafa Marefu Zaidi Linaloweza Kutua Sehemu Yoyote Duniani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Korea Kaskazi Yarusha Kombora La Masafa Marefu Zaidi Linaloweza Kutua Sehemu Yoyote Duniani
kiungo : Korea Kaskazi Yarusha Kombora La Masafa Marefu Zaidi Linaloweza Kutua Sehemu Yoyote Duniani

soma pia


Korea Kaskazi Yarusha Kombora La Masafa Marefu Zaidi Linaloweza Kutua Sehemu Yoyote Duniani

Korea Kaskazini imelifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu lililoruka juu zaidi na kudumu angani kwa dakika 53 kabla ya kutua katika bahari ya Japani.
Kwa mujibu wa waziri wa maswala ya ulinzi nchini Marekani James Mattis, kombora hilo ni hatari zaidi kwa sababu liweza kutua katika kona yoyote ile ya dunia ikiwemo Marekani.

Komora hilo liliruka kwa urefu wa kilomita 4,500 na kusafiri umbali wa kilomita 960 kulingana na jeshi la Korea Kusini.

Mara ya mwisho kwa  taifa hilo kulifanyia jaribio kombora lake ni mwezi Septemba. Wakati huo, kombora lake la mwisho lilikuwa la sita la nguvu za kinyuklia mwezi huo.

Korea Kaskazini imeendeleza mpango wake wa kinyuklia pamoja na ule wa utengenezaji wa makombora licha ya vikwazo ilivyowekewa.

Baraza kuu la usalama la umoja wa mataifa linatarajiwa kukutana katika kikao cha dharura ili kuzungumzia hatua hiyo ya kombora lililorushwa jana.

Rais wa Marekani Donald Trump aliarifiwa kuhusu hatua hiyo wakati ambapo kombora hilo bado lilikuwa angani  ambapo aliishia tu kusema ''Tutalishughulikia''.


Hivyo makala Korea Kaskazi Yarusha Kombora La Masafa Marefu Zaidi Linaloweza Kutua Sehemu Yoyote Duniani

yaani makala yote Korea Kaskazi Yarusha Kombora La Masafa Marefu Zaidi Linaloweza Kutua Sehemu Yoyote Duniani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Korea Kaskazi Yarusha Kombora La Masafa Marefu Zaidi Linaloweza Kutua Sehemu Yoyote Duniani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/korea-kaskazi-yarusha-kombora-la-masafa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Korea Kaskazi Yarusha Kombora La Masafa Marefu Zaidi Linaloweza Kutua Sehemu Yoyote Duniani"

Post a Comment