title : KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KATIKA MASUALA YA KISHERIA
kiungo : KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KATIKA MASUALA YA KISHERIA
KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KATIKA MASUALA YA KISHERIA
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma Bw. Griffin Mwakapeje (aliyesimama) akifafanua jambo katika kikao kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome na wadau wa kimataifa katika masuala ya sheria wakati wakibadilishana mawazo kuhusu sheria mbalimbali ikiwemo sheria ya ugaidi Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa majadiliano ya sheria mbalimbali nchini kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome na wadau wa kimataifa katika masuala ya sheria .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akisisitiza jambo kwa wadau wa kimataifa katika masuala ya sheria walipomtembelea leo (17/11/2017) ofisini kwake mjini Dodoma.
Hivyo makala KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KATIKA MASUALA YA KISHERIA
yaani makala yote KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KATIKA MASUALA YA KISHERIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KATIKA MASUALA YA KISHERIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/katibu-mkuu-wizara-ya-katiba-akutana-na.html
0 Response to "KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KATIKA MASUALA YA KISHERIA"
Post a Comment