title : HOSPITALI YA MKOA KASKAZINI KIVUNGE YASHEREHEKEA WIKI YA WATOTO NJITI ZANZIBAR
kiungo : HOSPITALI YA MKOA KASKAZINI KIVUNGE YASHEREHEKEA WIKI YA WATOTO NJITI ZANZIBAR
HOSPITALI YA MKOA KASKAZINI KIVUNGE YASHEREHEKEA WIKI YA WATOTO NJITI ZANZIBAR
Bi Rahma Asheri Mama aliejifungua Watoto Njiti mapacha Nassir na Yassir akionesha tabasamu katika Sherehe za Wiki ya Watoto njiti Duniani iliofanyika katika Hospitali ya Mkoa wa Kaskazini Kivunge Zanzibar.
Muuguzi Mkunga wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Bi Ruzuna Abdulrahim Mohd akitoa elimu kwa Wazazi waliopata watoto njiti katika Sherehe za Wiki ya Watoto njiti Duniani iliofanyika katika Hospitali ya Mkoa wa Kaskazini Kivunge Zanzibar.
Madaktari pamoja na wauguzi wakiwa katika Picha ya pamoja na Wazazi wa Watoto Njiti katika Sherehe za Wiki ya Watoto njiti Duniani iliofanyika katika Hospitali ya Mkoa wa Kaskazini Kivunge Zanzibar.
Daktari Bingwa wa Watoto kutoka Shirika la HIPZ(Helth Improvement Project in Zanzibar)Hannah Peters akimfanyia vipimo mtoto njiti kumuangalia uzito wake katika Sherehe za Wiki ya Watoto njiti Duniani iliofanyika katika Hospitali ya Mkoa wa Kaskazini Kivunge Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZBAR.
Hivyo makala HOSPITALI YA MKOA KASKAZINI KIVUNGE YASHEREHEKEA WIKI YA WATOTO NJITI ZANZIBAR
yaani makala yote HOSPITALI YA MKOA KASKAZINI KIVUNGE YASHEREHEKEA WIKI YA WATOTO NJITI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HOSPITALI YA MKOA KASKAZINI KIVUNGE YASHEREHEKEA WIKI YA WATOTO NJITI ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/hospitali-ya-mkoa-kaskazini-kivunge.html
0 Response to "HOSPITALI YA MKOA KASKAZINI KIVUNGE YASHEREHEKEA WIKI YA WATOTO NJITI ZANZIBAR"
Post a Comment