Mchezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar Mohammed Mmanga Anyakuwa Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi.

Mchezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar Mohammed Mmanga Anyakuwa Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mchezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar Mohammed Mmanga Anyakuwa Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mchezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar Mohammed Mmanga Anyakuwa Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi.
kiungo : Mchezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar Mohammed Mmanga Anyakuwa Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi.

soma pia


Mchezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar Mohammed Mmanga Anyakuwa Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi.

Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
BEKI kisiki anayekipiga ndani ya klabu ya Polisi, Mohammed Othman Mmanga amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya klabu hiyo katika mwezi Oktoba, 2017 kutokana msaada mkubwa alioutoa ndani ya kikosi hicho katika michezo iliyopita ya ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja.

Mmanga ambaye ndio mchezaji pekee kutoka klabu hiyo kuitwa katika timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Hereos), amekuwa na msaada mkubwa katika idara ya ulinzi, na kusababisha timu hiyo kuruhusu mabao 3 katika michezo 6 ya ligi waliocheza. 

Utaratibu wa kutoa zawadi ya mchezaji bora ndani ya klabu ndio kwanza umeanzishwa kwa mwezi Oktoba na utatolewa kila mwezi, kwa lengo la kuwapa motisha wachezaji ili waweze kujituma zaidi na kuwapa zawadi ya Kikombe pamoja na cheti.

Kwenye msimamo Polisi wapo nafasi ya 7 wakiwa na alama 8 kwa michezo 6 waliocheza ndani ya ligi hiyo yenye jumla ya timu 14.


Hivyo makala Mchezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar Mohammed Mmanga Anyakuwa Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi.

yaani makala yote Mchezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar Mohammed Mmanga Anyakuwa Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mchezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar Mohammed Mmanga Anyakuwa Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mchezaji-wa-timu-ya-polisi-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mchezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar Mohammed Mmanga Anyakuwa Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi."

Post a Comment