title : NAMTUMBO KUANZISHA TAMASHA LA MUZIKI KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA REDIO YA JAMII NAMTUMBO
kiungo : NAMTUMBO KUANZISHA TAMASHA LA MUZIKI KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA REDIO YA JAMII NAMTUMBO
NAMTUMBO KUANZISHA TAMASHA LA MUZIKI KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA REDIO YA JAMII NAMTUMBO
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma katika harakati yake ya kuhakikisha wanajenga kituo cha Redio ya jamii katika Halmashauri hiyo imepanga kuanzisha Tamasha la muziki kwa lengo la kupata fedha kujenga kituo cha Redio.
Kamati ya uanzishwaji Redio katika Hamashauri hiyo imependekeza kuundwa kwa kamati ndogo itakayoratibu kuanzishwa kwa Tamasha la muziki kwa lengo la kuchangia ujenzi wa kituo hicho cha Redio.
Aidha mwenyekiti wa kamati ya uanzishwaji Redio ya Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Bwana Gwakisa Mwasyeba ambaye ni Afisa mipango wa Halmashauri hiyo alipendekeza majina ya kamati hiyo kuwa ni James komba Afisa utamaduni wa wilaya hiyo , Afisa manunuzi Robert Mahili, Abbas Masawe katibu wa mikutano ya madiwani , na Afisa michezo John Ligoho na kuwataka kuanza mikakati ya kuanzishwa kwa Tamasha hilo la muziki.
Hata hivyo kamati ya uanzishwaji Redio ya Halmashauri hiyo ilipendekeza Hadidu Rejea kwa kamati hiyo ndogo ili zianze kushughulika nazo na kutoa taarifa kamili kwenye kamati kuu ya uanzishaji Redio .
Hivyo makala NAMTUMBO KUANZISHA TAMASHA LA MUZIKI KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA REDIO YA JAMII NAMTUMBO
yaani makala yote NAMTUMBO KUANZISHA TAMASHA LA MUZIKI KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA REDIO YA JAMII NAMTUMBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAMTUMBO KUANZISHA TAMASHA LA MUZIKI KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA REDIO YA JAMII NAMTUMBO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/namtumbo-kuanzisha-tamasha-la-muziki.html
0 Response to "NAMTUMBO KUANZISHA TAMASHA LA MUZIKI KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA REDIO YA JAMII NAMTUMBO"
Post a Comment