title : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS ,KATIBA,SHERIA,UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA.
kiungo : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS ,KATIBA,SHERIA,UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA.
DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS ,KATIBA,SHERIA,UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kushoto) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wengine ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe,Said Hassan Said alipokuwa akitoa mchango wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja (kulia) Naibu Waziri,Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Khamis Juma Maalim
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Srikali Zanzibar Bi.Fatma Mohamed Said alipokuwa akitoa michango mbali mbali wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Mkurugenzi Mwendesha Mashataka Nd,Ibrahim Mzee Ibrahim (kulia)
Baadhi ya Maafisa katika Idara mbali mbali za Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 03/11
Hivyo makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS ,KATIBA,SHERIA,UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA.
yaani makala yote DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS ,KATIBA,SHERIA,UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS ,KATIBA,SHERIA,UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/dkshein-azungumza-na-uongozi-wa-ofisi_4.html
0 Response to "DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS ,KATIBA,SHERIA,UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA."
Post a Comment