BREAKING NEWS.......... JAFO AFANYA ZIARA MANISPAA YA UBUNGO, ATOA MAAGIZO MAZITO SOKO LA MABIBO.

BREAKING NEWS.......... JAFO AFANYA ZIARA MANISPAA YA UBUNGO, ATOA MAAGIZO MAZITO SOKO LA MABIBO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWS.......... JAFO AFANYA ZIARA MANISPAA YA UBUNGO, ATOA MAAGIZO MAZITO SOKO LA MABIBO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWS.......... JAFO AFANYA ZIARA MANISPAA YA UBUNGO, ATOA MAAGIZO MAZITO SOKO LA MABIBO.
kiungo : BREAKING NEWS.......... JAFO AFANYA ZIARA MANISPAA YA UBUNGO, ATOA MAAGIZO MAZITO SOKO LA MABIBO.

soma pia


BREAKING NEWS.......... JAFO AFANYA ZIARA MANISPAA YA UBUNGO, ATOA MAAGIZO MAZITO SOKO LA MABIBO.


Na John Luhende
 mwambawahabari
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Suleiman Jafo, ameitaka Manispaa ya Ubungo kujenga miundombinu ya maji taka katika Soko la ndizi la Mabibo na ili kuweka soko hilo katika hali ya usafi.

'' sijaridhishwa na  miundo mbinu ya soko hili Kuna uchafuuhuu mifereji ijengwe   haraka, mapato pia bado hayaridhishi 90milion sisawa,  naomba Usimamizi ufanye vizuri ipasavyo "Amesema Jafo. 

Jafo Ameyasema hayo leo alipofanya ziara katika Soko hilo nakusisisitizo kuongezewa kwa nguvu ya kufanya usafi  hasa katika kipindi hiki cha mvua.
Aidha Mhe Jafo ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa kujenga shule ya secondari kimara secondari yenye madarasa manane kwa fedha zake za ndani ambapo shule hiyo Itazinduliwa January 2018.

"Shule hii mahali malipo I jenga sisal ama Sana kwa miaka ijayo, kwahiyo nawaalika mtafute eneo lingine angalau ndani ya miaka mitatu mjengesehemu shule nyingine" Amesema Jafo. 

Katika hatua nyingine akiwakatika katika ziara hiyo Jafo akiwa katika Kituo cha Afya Kimara amezunguza na wananchi waliofika kutibiwa hapo na kuwaele za mpango wa Serikali kuwa ina mpango wa kujenga Jengo la Ghorofa ili kupanua huduma za Afya wilani humo, na kumwagiza Mhandisi wa Manispaa hiyo kutumia vizuri fedha bilioni 4 zilizotengwa tengwa kwa ajili ya kuijenga vizuri Zahanati hiyo. 

Aidha amekutana na baadhi ya wananchi wa kimara na wamemwomba kutengeneza barabara, za mitaa yao kwa kuwa hazipitiki wakati wa mvua na kwa kuwa akipiga mwenyewe njia hizo amekubali ombi la wananchi hao na kuahidi kuifanya kazi ombi hilo ili kuondoa adha wanayoipata. 

"Ni kweli njia hizi ni mbovu, nimelichukua hilo nitakutafuta na Meneja wa TARURA ili aweze kuweka mipango ya ujenzi wa barabara hizi poleni Sana wananchi.  Amesema Jafo. 



Hivyo makala BREAKING NEWS.......... JAFO AFANYA ZIARA MANISPAA YA UBUNGO, ATOA MAAGIZO MAZITO SOKO LA MABIBO.

yaani makala yote BREAKING NEWS.......... JAFO AFANYA ZIARA MANISPAA YA UBUNGO, ATOA MAAGIZO MAZITO SOKO LA MABIBO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS.......... JAFO AFANYA ZIARA MANISPAA YA UBUNGO, ATOA MAAGIZO MAZITO SOKO LA MABIBO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/breaking-news-jafo-afanya-ziara.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BREAKING NEWS.......... JAFO AFANYA ZIARA MANISPAA YA UBUNGO, ATOA MAAGIZO MAZITO SOKO LA MABIBO."

Post a Comment