DC KALIUA : JENGENI HOSPITALI YA WILAYA ILI KUWAONDOLEA WAKAZI WA WILAYA HIYO KWENDA MBALI KUFUATA HUDUMA ZA RUFAA YA MATIBABU.

DC KALIUA : JENGENI HOSPITALI YA WILAYA ILI KUWAONDOLEA WAKAZI WA WILAYA HIYO KWENDA MBALI KUFUATA HUDUMA ZA RUFAA YA MATIBABU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC KALIUA : JENGENI HOSPITALI YA WILAYA ILI KUWAONDOLEA WAKAZI WA WILAYA HIYO KWENDA MBALI KUFUATA HUDUMA ZA RUFAA YA MATIBABU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC KALIUA : JENGENI HOSPITALI YA WILAYA ILI KUWAONDOLEA WAKAZI WA WILAYA HIYO KWENDA MBALI KUFUATA HUDUMA ZA RUFAA YA MATIBABU.
kiungo : DC KALIUA : JENGENI HOSPITALI YA WILAYA ILI KUWAONDOLEA WAKAZI WA WILAYA HIYO KWENDA MBALI KUFUATA HUDUMA ZA RUFAA YA MATIBABU.

soma pia


DC KALIUA : JENGENI HOSPITALI YA WILAYA ILI KUWAONDOLEA WAKAZI WA WILAYA HIYO KWENDA MBALI KUFUATA HUDUMA ZA RUFAA YA MATIBABU.

Mwambawahabari

NA TIGANYA VINCENT-RS –TABORA
SERIKALI ya wilaya Kaliua imetoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuanza mipango ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya kwa ajili ya kuondoa adha kwa wananchi wanapewa rufaa kutoka katika vituo vya afya kwa ajili ya matibabu zao.
Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Abel Busalama katika Mkutano wa Bazara la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya hiyo wakati wakipitia taarifa mbalimbali za Kamati kwenye kikao cha robo ya kwanza ya mwaka huu wa fedha.
Alisema kuwa wakazi wa Kaliua ambao wamekuwa wakiandikiwa rufaa kwenda Hospitali kubwa wamelazimika kwenda Urambo au Kahama ili kufuata huduma hiyo jambo ambao wakati mwingine linamsababisha mgonjwa kuzidiwa zaidi kwa sababu ya umbali.
Busalama aliongeza kuwa hata wafanyakazi wemekuwa wakisafiri kwenda mbalimbali kufuata huduma hizo na kupunguza ufanisi katika maeneo yao na pia Halmashauri kukosa mapato yanayotokana watumishi kuhudumiwa kwa kutumia BIMA za Afya.
Alisema kuwa kwa kutambua umuhimu wa Hospitali ya Wilaya , Ofisi yake imefanikiwa kuonana na wadau mbalimabali ambao wameahidi kuchangia ili kufanikisha zoezi hilo.
Busalama aliwataja baadhi ya wadau hao kuwa ni pamoja na Wakulima wa Tumbaku wameahidi kuchangia milioni 9 Benki ya CRDB milioni 4, Kampuni ya Alliance One mifuko 312 na nondo 158.
Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Haruna Kasele alisema kwa kuwa wamekamilisha ujenzi wa majengo kwa ajili ya Ofisi za Halmashauri nguvu kubwa zinaelekezwa katika ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ili kuwasogezea huduma hizo wananchi karibu.
Alisema kuwa taratibu mbalimbali zinaendelea ikiwemo kuandaa fidia kwa ajili wananchi ambao maeneo yao yatachukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali hiyo.
Kasele aliongeza kuwa Hospitali wanatarajia kujenga itakuwa ni kisasa kwa kuweka vifaa vya kisasa ili waweze kuwahudumia wananchi wa kaliua vizuri hata jirani zao.
Alisema kuwa endapo itakamilika itawasaidia wakazi wa Kaliua ambao wamekuwa wakichangia Mfuko wa Afya ya Jamii(CHF) ambapo wamekuwa wakishindwa kutumia kadi zao wanapopata rufaa ya kwenda kubiwa nje ya Kaliua.


Hivyo makala DC KALIUA : JENGENI HOSPITALI YA WILAYA ILI KUWAONDOLEA WAKAZI WA WILAYA HIYO KWENDA MBALI KUFUATA HUDUMA ZA RUFAA YA MATIBABU.

yaani makala yote DC KALIUA : JENGENI HOSPITALI YA WILAYA ILI KUWAONDOLEA WAKAZI WA WILAYA HIYO KWENDA MBALI KUFUATA HUDUMA ZA RUFAA YA MATIBABU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC KALIUA : JENGENI HOSPITALI YA WILAYA ILI KUWAONDOLEA WAKAZI WA WILAYA HIYO KWENDA MBALI KUFUATA HUDUMA ZA RUFAA YA MATIBABU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/dc-kaliua-jengeni-hospitali-ya-wilaya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC KALIUA : JENGENI HOSPITALI YA WILAYA ILI KUWAONDOLEA WAKAZI WA WILAYA HIYO KWENDA MBALI KUFUATA HUDUMA ZA RUFAA YA MATIBABU."

Post a Comment