Zawadi za shs milioni 204 kushindaniwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC.

Zawadi za shs milioni 204 kushindaniwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zawadi za shs milioni 204 kushindaniwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zawadi za shs milioni 204 kushindaniwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC.
kiungo : Zawadi za shs milioni 204 kushindaniwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC.

soma pia


Zawadi za shs milioni 204 kushindaniwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC.

 Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Mbagala,  Sady Mwang’onda (wa pili kulia) na Meneja Bidhaa za Uwekezaji wa benki hiyo, Dorothea Mabonye (wanne kushoto), wakikata utepe kuashirikia uzinduzi rasmi wa kampeni ya akaunti ya malengo ya NBC. Kampeni hiyo itakayodumu kwa muda wa miezi mitatu na kufanyika nchini kote itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari jipya aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ lenye thamani ya shs milioni 30. Washindi wengine 24 watajishindia kila mmoja zawadi ya pesa taslimu shs milioni moja hivyo kufanya jumla ya zawadi zote kufikia thamani ya shs milioni 204. Hafla hiyo ilifanyika katika tawi hiyo, Dar es Salaam leo. Wengine ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo.
 Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Mbagala,  Sady Mwang’onda (katikati), Meneja wa Bidhaa za Uwekezaji wa benki hiyo, Dorothea Mabonye (kulia kwake), na Mkuu wa  Bidhaa na Wateja Rejareja, Andrew Lyimo (kushoto kwake), pamoja na baadhi ya maofisa wa benki hiyo wakishangilia mara baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya akaunti ya malengo ya NBC uliofanyika katika tawi hilo, Dar es Salaam leo. Kampeni hiyo itakayodumu kwa muda wa miezi mitatu na kufanyika nchini kote itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari jipya aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ lenye thamani ya shs milioni 30. Washindi wengine 24 watajishindia kila mmoja zawadi ya pesa taslimu shs milioni moja.
  Mkuu Bidhaa na Wateja Rejareja wa Benki ya NBC, Andrew Lyimo (katikati), akihojiwa na waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya akaunti ya malengo ya NBC uliofanyika katika tawi Mbagala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo. Kampeni hiyo itakayodumu kwa muda wa miezi mitatu na kufanyika nchini kote itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari jipya aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ lenye thamani ya shs milioni 30. Washindi wengine 24 watajishindia kila mmoja zawadi ya pesa taslimu shs milioni moja.



Hivyo makala Zawadi za shs milioni 204 kushindaniwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC.

yaani makala yote Zawadi za shs milioni 204 kushindaniwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zawadi za shs milioni 204 kushindaniwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/zawadi-za-shs-milioni-204-kushindaniwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zawadi za shs milioni 204 kushindaniwa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC."

Post a Comment