Makamo wa Rais wa ZFA Mzee Zam Afungua Kozi ya Makocha Zanzibar.

Makamo wa Rais wa ZFA Mzee Zam Afungua Kozi ya Makocha Zanzibar. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamo wa Rais wa ZFA Mzee Zam Afungua Kozi ya Makocha Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamo wa Rais wa ZFA Mzee Zam Afungua Kozi ya Makocha Zanzibar.
kiungo : Makamo wa Rais wa ZFA Mzee Zam Afungua Kozi ya Makocha Zanzibar.

soma pia


Makamo wa Rais wa ZFA Mzee Zam Afungua Kozi ya Makocha Zanzibar.

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Makamo wa Rais ZFA Unguja Mzee Zam Ali leo saa 3:00 za asubuhi alikuwa Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa  Kozi ya awali ya makocha wa Magilikipa, kozi ambayo imeanza leo Jumatano  July 5 na kumalizika Jumanne July 11, 2017 chini ya Mkufunzi Gwiji  Saleh Ahmed Seif “Machupa”.

Kozi hiyo imeandaliwa na Chama cha Soka Zanzibar “ZFA” ambayo itawashirikisha zaidi ya makocha 30 kutoka Unguja na Pemba na makocha hao wakimaliza kozi hiyo watapata fursa ya kutambuliwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika “CAF”.

Machupa ni Mkufunzi pekee nchini Tanzania aliyehitimu Kozi ya CAF ya Wakufunzi wa Makocha wa Magolikipa wa ndani kozi ambayo aliisomea nchini Cameroon mwanzoni mwa mwezi Mei mwaka huu,  Machupa pia ameshahitimu kozi ya FIFA ya Ukocha wa Magolikipa ya hatua ya juu (Advanced Level) ambayo aliipata kwenye kozi iliyofayika tarehe 01 Agost, 2016 na kumalizika tarehe 05 Agost 2016, na pia Machupa ana Leseni “B” ya Ukocha inayotambuliwa na CAF.


Hivyo makala Makamo wa Rais wa ZFA Mzee Zam Afungua Kozi ya Makocha Zanzibar.

yaani makala yote Makamo wa Rais wa ZFA Mzee Zam Afungua Kozi ya Makocha Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamo wa Rais wa ZFA Mzee Zam Afungua Kozi ya Makocha Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/makamo-wa-rais-wa-zfa-mzee-zam-afungua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamo wa Rais wa ZFA Mzee Zam Afungua Kozi ya Makocha Zanzibar."

Post a Comment