WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA( WAMY)

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA( WAMY) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA( WAMY), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA( WAMY)
kiungo : WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA( WAMY)

soma pia


WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA( WAMY)

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu Duniani (WAMY) kuhusiana na Matibabu walioyafanya kisiwani Pemba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Kiongozi wa Madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu Duniani(WAMY) Dk,Sultan Baghdadi akizungumza machache kuhusiana na Matibabu walioyafanya kisiwani Pemba katika mkutano na Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Mkurugenzi Idara ya Huduma za Hospitali Wizara ya Afya Zanzibar Dk,Mohammed Dahoma akitoa neno la shukurani kwa Madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu Duniani(WAMY) kuhusiana na Matibabu walioyafanya kisiwani Pemba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo kulia akimkabidhi cheti Dk,Ahmed Yasin Abukrecha ambae ni miongoni mwa madaktari kutoka Jumuiya ya Vijana wa Kiislam Duniani(WAMY)waliofanya Matibabu kisiwani Pemba katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Unguja. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA( WAMY)

yaani makala yote WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA( WAMY) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA( WAMY) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-wa-afya-zanzibar-azungumza-na_25.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA MADAKTARI KUTOKA( WAMY)"

Post a Comment