Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe. Shehe Akifunga Mafunzo ya Kijani Kibichi.

Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe. Shehe Akifunga Mafunzo ya Kijani Kibichi. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe. Shehe Akifunga Mafunzo ya Kijani Kibichi., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe. Shehe Akifunga Mafunzo ya Kijani Kibichi.
kiungo : Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe. Shehe Akifunga Mafunzo ya Kijani Kibichi.

soma pia


Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe. Shehe Akifunga Mafunzo ya Kijani Kibichi.

Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Pemba ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Shehe Hamad Mattar akifunga mafunzo ya siku tatu ya utengenezaji wa sabuni kwa wanachama wa mtandao wa Kijani kibichi yaliyofanyika ukumbi wa CCM Amani Mkoa. (Kulia) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Elimu Zanzibar ZEDO pia ni Mkurugenzi wa mtandao huo Ussi Said Suleiman. 
Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Pemba ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Shehe Hamad Mattar akimkabidhi cheti mmoja wa washiriki wa mafunzo ya kijani kibichi Bi. Salha Muhamed Juma.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Kijani kibichi wakifuatili nasaha za mgeni rasmi (hayupo pichani) katika sherehe ya ufungaji wa mafunzo hayo yaliyofanyika Ukumbi wa CCM Mkoa Amani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga.


Hivyo makala Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe. Shehe Akifunga Mafunzo ya Kijani Kibichi.

yaani makala yote Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe. Shehe Akifunga Mafunzo ya Kijani Kibichi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe. Shehe Akifunga Mafunzo ya Kijani Kibichi. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mwakilishi-wa-jimbo-la-mgogoni-mhe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe. Shehe Akifunga Mafunzo ya Kijani Kibichi."

Post a Comment