WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO

WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO
kiungo : WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO

soma pia


WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO

Serikali imesema itahakikisha inaendelea kuwasimamia wakandarasi wa Ujenzi wa Barabara kuhakikisha wanajenga barabara zote nchini kwa viwango vilivyokusudiwa na kumaliza kwa wakati ili kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa leo jijini Dar es salaam mara baada ya kukagua Awamu ya Tatu ya utekelezaji wa Ujenzi wa barabara za kupunguza msongamano jijini humo ambapo ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wake na kusisitiza kwa Wakala wa Baraba (TANROADS), mkoa wa Dar es salaam kuwa wakali katika usimamizi ili kuhakikisha barabara hizo zinajengwa kwa viwango vilivyokubaliwa kwenye mkataba.

“ Serikali imekuwa ikitumia Fedha nyingi katika kutekeleza miradi hii, hivyo TANROADS hakikisheni mnasimamia wakandarasi hawa kujenga barabara hizi kwa viwango na kwa wakati”, amesema Waziri Mbarawa.

Aidha, Waziri Mbarawa amefafanua kuwa utekelezaji wa awamu hiyo unaendelea vizuri ambapo unahusisha barabara ya Kifuru – Msigani (km 4.5) ambayo kwa sasa imefika asilimia 87, Goba – Makongo (km 4.5), nayo imefikia asilimia 52 na Goba – Madale (km 5) yenye asilimia 5.

Profesa Mbarawa ametoa wito kwa wananchi wa maeneo hayo kutoa ushirikiano kwa Mkandarasi naTANROADS mkoa wa Dar es salaam wakati mradi huo ukiendeleaa kutekelezwa ili kusaidia kumaliza kwa wakati.




Hivyo makala WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO

yaani makala yote WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-mbarawa-wakandarasi-jengeni_3.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO"

Post a Comment