WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEA OFISI ZA URATIBU ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEA OFISI ZA URATIBU ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEA OFISI ZA URATIBU ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEA OFISI ZA URATIBU ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR
kiungo : WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEA OFISI ZA URATIBU ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

soma pia


WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEA OFISI ZA URATIBU ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba hii leo amefanya ziara ya kikazi kutembelea Ofisi za Uratibu wa shughuli za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) zilizopo Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam.

Katika Ziara hiyo Mhe. Makamba amepata fursa ya kuongea na Menejimenti ya Ofisi hiyo na kupata wasaa wa kubadilishana uzoefu na kuweka mikakati ya kuimarisha ushirikiano zaidi baina yao.

Awali, akimkaribisha Waziri Makamba, Mratibu Mkuu Bw. Issa Mlingoti amemshukuru Waziri Makamba kwa kufika na kuahidi kuimarisha ushirikiano katika nyanja za Elimu, ajira na fursa kwa pande zote za Muungano.

"Sisi tumefarijika sana kwa ujio wako na tunategemea kuwa huu ni mwanzo na mwelekeo mzuri wa kuzidi kuimarisha mashirikiano baina yetu ikiwa sisi ni waratibu wa shughuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar" Alisisitiza Bw.Mlingoti

Katika ziara hiyo Waziri Makamba alipata fursa ya kuongea na wafanyakazi, kusikiliza changamoto zinazowakabili na kuahidi kuzipatia ufumbuzi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwa katika kikao wa watumishi wa Ofisi ya Uratibu - Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Waziri Makamba amepata wasaa wa kuzungumza na Menejimenti na watumishi wa Ofisi hiyo leo jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Luthuli.
Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Uratibu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri January Makamba mara baada ya kutembea Ofisi zao zilizopo Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEA OFISI ZA URATIBU ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR

yaani makala yote WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEA OFISI ZA URATIBU ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEA OFISI ZA URATIBU ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-makamba-atembelea-ofisi-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEA OFISI ZA URATIBU ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR"

Post a Comment