WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI
kiungo : WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI

soma pia


WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba (kushoto) akibadilishana mawazo na Balozi wa Sweden Nchini, Katarina Rangnitt (kulia) katika kikao chake kilichofanyika katika Ofisi ya Makamu wa Rais  jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2017. Kikao hicho kilishirikisha pia wataalamu kutoka Idara ya Mazingira. Katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora.
 Balozi wa Sweden Nchini Bi. Katarina Rangnitt (wa pili kulia) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba mara baada ya kumtembelea hii leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine Mhe. Balozi amezungumzia namna ya kushirikiana katika sekta ya Mazingira.




Balozi wa Sweden Nchini Bi. Katarina Rangnitt na Naibu Balozi wake Bw.  Ulf Kallstig ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano na Maendeleo wakiwa Ofisini kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba mara baada ya kufanya mazungumzo hii leo.


Hivyo makala WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI

yaani makala yote WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-makamba-akutana-na-balozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI"

Post a Comment