POLISI DAR WAUWA JAMBAZI, WAOKOA SMG MAGAZINE 2,WAMSAKA SHEIKH PONDA KWA UCHOCHEZI, MAMBO SASA AMPA SIKU TATU AJISALIMISHE.

POLISI DAR WAUWA JAMBAZI, WAOKOA SMG MAGAZINE 2,WAMSAKA SHEIKH PONDA KWA UCHOCHEZI, MAMBO SASA AMPA SIKU TATU AJISALIMISHE. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI DAR WAUWA JAMBAZI, WAOKOA SMG MAGAZINE 2,WAMSAKA SHEIKH PONDA KWA UCHOCHEZI, MAMBO SASA AMPA SIKU TATU AJISALIMISHE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI DAR WAUWA JAMBAZI, WAOKOA SMG MAGAZINE 2,WAMSAKA SHEIKH PONDA KWA UCHOCHEZI, MAMBO SASA AMPA SIKU TATU AJISALIMISHE.
kiungo : POLISI DAR WAUWA JAMBAZI, WAOKOA SMG MAGAZINE 2,WAMSAKA SHEIKH PONDA KWA UCHOCHEZI, MAMBO SASA AMPA SIKU TATU AJISALIMISHE.

soma pia


POLISI DAR WAUWA JAMBAZI, WAOKOA SMG MAGAZINE 2,WAMSAKA SHEIKH PONDA KWA UCHOCHEZI, MAMBO SASA AMPA SIKU TATU AJISALIMISHE.

Mwambawahabari 
Na. John Luhende
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam limesema limefanikiwa  kuuwa  jambazi mmoja  baada ya na mmoja kumjeruhi katika majibishino  ya risasi , maeneo ya Mbezi mshikamano kwa Mgalula, na kuokoa silaha moja aina ya SMG namba UC59821998 na Magazine 2.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa polisi Kanda maalum ya Dar es salaam,  Lazaro Mambo sasa amesema kuwa mmoja wa majambazi hao alishiriki katika tukio la kupigwa risasi kwa Meja Jenerali Mstaafu wa Jeshi la wananchi Vicenti Kariongo , lilitokea September 11mwaka jijini Dar es Salaam. 

Aidha Mambo sasa ametoa onyo kwa Majambazi wote mkoa wa Dar es Salaam, na kuwa ambia kuwa Dar es Salaam si mahala salama kwao na kuwataka kuachana na kazi hiyo,  la siyo wata kumbana na mkono wa sheria.

Pamoja na hayo, Kamanda Mambo sasa, amesema Jeshi hilo lina msaka Katibu mkuu wa Jumuiya na Taasisi za kiisilamu Tanzania, Sheikh Ponda Isa  Ponda kwa tuhuma za uchochezi  na lugha za kweli kwa Serikali, na limetoa siku tatu aweze kujisalimisha mwenyewe Kituo cha Polis   kuhojiwa na kujibu tuhuma hizo. 

Sheikh Ponda Isa Ponda jana alifanya mkutano na waandishi wa habari katika hotel moja ilipo mtaa wa amani Kariakoo na baada ya kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari Polisi walifika Hotelini hapa na Kuzuia waandishi kutoka kwa madai kuwa wanamtaka, lakini aliwapiga chenga ya mwili. 

Mwambawahabari, ili kuwepo katika tukio Zima na kushuhudia sinema hiyo, huku na waandishi Kuzuiwa kutoka kwa muda, upekuzi katika vyumba hivyo uka endelea ntakuambia patupu na kuamini waliohojiwa ambiwa kuwa walipishana naye mlangoni. 


Hivyo makala POLISI DAR WAUWA JAMBAZI, WAOKOA SMG MAGAZINE 2,WAMSAKA SHEIKH PONDA KWA UCHOCHEZI, MAMBO SASA AMPA SIKU TATU AJISALIMISHE.

yaani makala yote POLISI DAR WAUWA JAMBAZI, WAOKOA SMG MAGAZINE 2,WAMSAKA SHEIKH PONDA KWA UCHOCHEZI, MAMBO SASA AMPA SIKU TATU AJISALIMISHE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI DAR WAUWA JAMBAZI, WAOKOA SMG MAGAZINE 2,WAMSAKA SHEIKH PONDA KWA UCHOCHEZI, MAMBO SASA AMPA SIKU TATU AJISALIMISHE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/polisi-dar-wauwa-jambazi-waokoa-smg.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLISI DAR WAUWA JAMBAZI, WAOKOA SMG MAGAZINE 2,WAMSAKA SHEIKH PONDA KWA UCHOCHEZI, MAMBO SASA AMPA SIKU TATU AJISALIMISHE."

Post a Comment