title : WAZIRI JAFO : WAFANYABIASHARA KATIKA VITUO VYA MWENDOKASI WAONDOLEWE.
kiungo : WAZIRI JAFO : WAFANYABIASHARA KATIKA VITUO VYA MWENDOKASI WAONDOLEWE.
WAZIRI JAFO : WAFANYABIASHARA KATIKA VITUO VYA MWENDOKASI WAONDOLEWE.
Mwambawahabari
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jaffo (katikati) akimskiliza mwananchi Bi.Salma Hoza(mbele) akitoa maoni yake kuhusu huduma inayotolewa na Wakala wa mabasi yanedayo haraka
……………..
WAONDOLEWE –WAZIRI JAFO
NteghenjwaHosseah – Tamisemi – Dar es Salaam.
WaziriwaNchiOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe. SelemaniJaffoameagizawafanyabiasharawotewanaofanyabiasharakatikavituovyamabasiyanaendayoharakawaondolewenawatafutiwemaeneomaalumuyakufanyiakazizaonahalmashaurihusika.
WaziriJaffoameyasemahayowakatiwaziarayakekatikavituovyamabasiyaendayoharakavyaMorroconaKivukoninakukutawafanyabiasharandogondogowakiendeleanashughuliambazokwakiasikikubwazinaharibunakuchafuamiundombinuyamabasiyaendayoharaka.
“Vituohivinimaalumukwaajiliyaabiriakusafirishwampakamaeneowanapokwendanasiobiasharnakwasababuvituohivivikokwenyehalmashauriambazonazisimamia Mimi naagizawafanyabiasharahawawaondolewenawatafutiwemaeneoyatakayofaakwaajiliyabiasharazaolakinisioruksakufanyiabiasharahizokatikaeneohilimaalumukwaajiliyamabsiyanedayoharaka” alisemaWaziriJaffo.
KatikaziarahiyoWaziriJaffoaliagizauongoziwa DART kufanyamazungumzoyaharakanaJeshi la Polisi,Kikosi cha UsalamaBarabaranikuangalianamna bora yakuongozamabasihayokwenyemaeneoyamakutanoyabarabarahususansehemuzenyeTaazakuongozeamagarinaikiwezekanataazabarabaranizifanyekaziyake.
“NimepokeamalalamikotokakwawananchiambaondiowatumiajiwamabasikuwahusimamamudamrefukwenyemaeneozilipoTaazabarabaranikwasababuAskarianayaongozayeyenasiotaahivyohusimamamudamrefukusubiriaAskariayaruhusunakupotezamaanayakuwamabasiyaendayoharaka” alisemaJaffo.
AidhaWaziriJaffoaliutakauongoziwaDART kuongezaKadizakusafirishiaabiraiakwasababuimekuanihitajikubwasanana la mudamrefu la watumiajiwausafirihuo:
Hakikishenimnakamilishamchakatohuomapemailiwananchiwapatehudumahiyowanayoihitaji.
Piaaliwasisitizauongoziwa DART kuwaelekezamaderevawamabasiyaendayoharakakuhakikiashawanachukuaabiriakatikavituovyotenasiokuwaachaabiriakatikabaadhiyavituokwasababuyawingiwaabiriahayonayaleMabasiya ExpresskutokaKivukoni –kimaranaGerezani-KimarakuchukuaabiriawaKimaratunasi wale wakushukakwenyevituovyakaribu.
TAMISEMI YA WANANCHI.
Hivyo makala WAZIRI JAFO : WAFANYABIASHARA KATIKA VITUO VYA MWENDOKASI WAONDOLEWE.
yaani makala yote WAZIRI JAFO : WAFANYABIASHARA KATIKA VITUO VYA MWENDOKASI WAONDOLEWE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JAFO : WAFANYABIASHARA KATIKA VITUO VYA MWENDOKASI WAONDOLEWE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-jafo-wafanyabiashara-katika.html
0 Response to "WAZIRI JAFO : WAFANYABIASHARA KATIKA VITUO VYA MWENDOKASI WAONDOLEWE."
Post a Comment