Urembo / Elimu : Nelly Kazikazi atwaa Taji la Miss Higher Learning 2017

Urembo / Elimu : Nelly Kazikazi atwaa Taji la Miss Higher Learning 2017 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Urembo / Elimu : Nelly Kazikazi atwaa Taji la Miss Higher Learning 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Urembo / Elimu : Nelly Kazikazi atwaa Taji la Miss Higher Learning 2017
kiungo : Urembo / Elimu : Nelly Kazikazi atwaa Taji la Miss Higher Learning 2017

soma pia


Urembo / Elimu : Nelly Kazikazi atwaa Taji la Miss Higher Learning 2017



Miss Higher Learning 2017, Nelly Kazikazi, akipunga mkono kwa furaha akiwa na washindi wenzake baada ya kutangazwa rasmi na kuvishwa Taji katika shindano la Miss Vyuo Vikuu lililofanyika usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa King Solomon Namanga Dar es Salaam. Kulia ni mshindi wa pili, Queen Elizabeth Makune (kushoto) ni mshindi wa tatu, Melody Thomas. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

Shindano hilo pia lilipambwa na burudani kutoka kwa wasanii tofauti kama JK Comedian Jukwaani, Msaga sumu na Barnaba Boy.

Sehemu ya wageni waliofika kushuhudia shindano hilo wakiwa katika meza za VIP

Shoo ilianza kama hivi kwa kufungua na shoo ya pamoja


Hatimaye warembo walianza kupita jukwaani na vazi la ubunifu....























Msaga Sumu akitoa burdani

Hatimaye Warembo walianza kupita jukwaani wakia na vazi la Ufukweni
















Majaji wakijadiliana jambo


Dj John Dilinga naye akionyesha shoo, kuigiza umiss



Miss Talent akinyesha jinsi alivyochukua taji hilo.

Hatimaye ukafika muda wa Warembo kupita jukwaani na vazi la usiku.















Ulifika muda wa Barnaba Boy kuwarusha wadau wa urembo ukumbini hapo


Dj Denso kutoka Mafoto City Sound akiwarusha kwa ngoma za Barnaba alipopanda jukwaani

Huku ni nyumba ya Stage warembo wakishoo love



Barnaba Boy akiwachezesha warembo kwa ngoma zake


Warembo wakiwa nyuma ya stage nao wakifuatilia shoo ya Barnaba Boy

Hawa ndiyo warembo wote walioshiriki shindano hilo

Mkurugenzi na mratibu wa shindano hilo, Joseph Musendo akizungumza jukwaani, akiwa na msaidizi wake


Ilipoanza kutangazwa tatu bora

Miss Highlearning 2016, Laura Kway, akimvisha Taji Miss Highlearning 2017, Nelly Kazikazi, baada ya kutangazwa mshindi.

Miss Higher Learning 2017, Nelly Kazikazi, akipunga mkono kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi.


Hivyo makala Urembo / Elimu : Nelly Kazikazi atwaa Taji la Miss Higher Learning 2017

yaani makala yote Urembo / Elimu : Nelly Kazikazi atwaa Taji la Miss Higher Learning 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Urembo / Elimu : Nelly Kazikazi atwaa Taji la Miss Higher Learning 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/urembo-elimu-nelly-kazikazi-atwaa-taji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Urembo / Elimu : Nelly Kazikazi atwaa Taji la Miss Higher Learning 2017"

Post a Comment