UJENZI MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KITUNDA WAKARIBIA KUKAMILIKA

UJENZI MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KITUNDA WAKARIBIA KUKAMILIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJENZI MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KITUNDA WAKARIBIA KUKAMILIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJENZI MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KITUNDA WAKARIBIA KUKAMILIKA
kiungo : UJENZI MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KITUNDA WAKARIBIA KUKAMILIKA

soma pia


UJENZI MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KITUNDA WAKARIBIA KUKAMILIKA

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu (wa kwanza kushoto) akitazama moja ya malighafi inayotumika katika ujenzi wa maegesho mapya ya Lindi Kitunda unaondelea Mkoani Lindi. Maegesho hayo yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni na yatasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha huduma za usafiri wa majini katika eneo hilo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu (wa kwanza kushoto) akitoa maelekezo kwa mkandarasi anayejenga maegesho ya Lindi Kitunda wakati alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi huo Mkoani Lindi. Maegesho hayo yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni na yatasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha huduma za usafiri wa majini katika eneo hilo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu (wa kwanza kushoto) akitoa maagizo kwa mkandarasi anayejenga maegesho ya Lindi Kitunda wakati alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi wa maegesho hayo Mkoani Lindi. Kulia ni Mtaalamu wa Uchumi kutoka wakala huo Edgar Ruta, Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko Mhandisi Japhet Y. Maselle na mkandarasi anayesimamia ujenzi huo Ndugu Evans Martin. Maegesho hayo yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni na yatasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha huduma za usafiri wa majini katika eneo hilo.
Mafundi wa kampuni inayosimamia ujenzi wa maegesho ya kivuko Lindi Kitunda wakiendelea na ujenzi wa maegesho hayo upande wa Kitunda mkoani Lindi. Maegesho hayo yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni na yatasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha huduma za usafiri wa majini katika eneo hilo..

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala UJENZI MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KITUNDA WAKARIBIA KUKAMILIKA

yaani makala yote UJENZI MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KITUNDA WAKARIBIA KUKAMILIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJENZI MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KITUNDA WAKARIBIA KUKAMILIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/ujenzi-maegesho-ya-kivuko-lindi-kitunda.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UJENZI MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KITUNDA WAKARIBIA KUKAMILIKA"

Post a Comment