Aslay Aishusha ‘Hallelujah’ Trending Kwenye Youtube

Aslay Aishusha ‘Hallelujah’ Trending Kwenye Youtube - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Aslay Aishusha ‘Hallelujah’ Trending Kwenye Youtube, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Aslay Aishusha ‘Hallelujah’ Trending Kwenye Youtube
kiungo : Aslay Aishusha ‘Hallelujah’ Trending Kwenye Youtube

soma pia


Aslay Aishusha ‘Hallelujah’ Trending Kwenye Youtube


Ikiwa siku moja imepita toka meneja wa msanii Aslay, Mx kutoa taarifa kuwa ngoma ya ‘Natamba’ imeripotiwa kushushwa katika mtandao wa YouTube hatimaye ngoma hiyo ilirejea hapo jana jioni na kushika namba mbili kama ilivyokuwa awali na hivi sasa imeshika nafasi ya kwanza katika trending ya YouTube.

Hii ni good news kwa mashabiki wa Aslay kwani ngoma hiyo imefanikiwa kushika namba moja katika mtandao wa YouTube kwa kuishusha ngoma ya Diamond Platnumz ft Morgan Heritage ‘Hallelujah’, iliyokuwa imeshika namba moja kwa takribani siku tano mfululizo.

‘Natamba’ ni ngoma nyingine kutoka kwa msanii huyo baada ya kuongeza meneja wake na ina watazamaji 446,213 mpaka sasa. 


Hivyo makala Aslay Aishusha ‘Hallelujah’ Trending Kwenye Youtube

yaani makala yote Aslay Aishusha ‘Hallelujah’ Trending Kwenye Youtube Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Aslay Aishusha ‘Hallelujah’ Trending Kwenye Youtube mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/aslay-aishusha-hallelujah-trending.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Aslay Aishusha ‘Hallelujah’ Trending Kwenye Youtube"

Post a Comment