title : UHURU FM LEO TENA WAMWAGA MSAADA KUPITIA KAMPENI YAO YA 'GUSA MAISHA YAO' KUMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE
kiungo : UHURU FM LEO TENA WAMWAGA MSAADA KUPITIA KAMPENI YAO YA 'GUSA MAISHA YAO' KUMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE
UHURU FM LEO TENA WAMWAGA MSAADA KUPITIA KAMPENI YAO YA 'GUSA MAISHA YAO' KUMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE
Meneja Rasilimali watu wa Kampuni ya Peoples Media inayoendesha Kituo cha Radio cha Uhuru FM cha Jijini Dar es Salaam, Paul Mng'ong'o (wanne kushoto), akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vyakula kwa Mwanzilishi wa Kituo cha kujeresha katika maisha ya kawaida waraibu wa dawa za kulevya cha Pili Misana Foundation, Pili Misana, kilichopo Kigamboni, dar es Salaam, leo, ikiwa ni mwendelezo wa Uhuru FM kutoa misaada kupitia kampeni yao ya 'Gusa Maisha yao' kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere. Wengine katika picha ni baadhi ya wafanyakazi wa Uhuru FM na Vijana wanaoishi katika kituo hicho.
Aina ya msaada uliotolewa
Dereva akiliungurumisha basi kupitia daraja la Kigamboni kwenda kwenye kituo hicho
Baadhi ya wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa katika basi kwenda kwenye kituo hicho cha kusaidia waraibu wa dawa za kulevya kurejea katika maisha ya kawaida, baada ya kufika wafanyakazi hao wakaanza kushuka na vitu vya msaada, mmoja baada ya mwingine .
Hivyo makala UHURU FM LEO TENA WAMWAGA MSAADA KUPITIA KAMPENI YAO YA 'GUSA MAISHA YAO' KUMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE
yaani makala yote UHURU FM LEO TENA WAMWAGA MSAADA KUPITIA KAMPENI YAO YA 'GUSA MAISHA YAO' KUMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UHURU FM LEO TENA WAMWAGA MSAADA KUPITIA KAMPENI YAO YA 'GUSA MAISHA YAO' KUMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/uhuru-fm-leo-tena-wamwaga-msaada_11.html
0 Response to "UHURU FM LEO TENA WAMWAGA MSAADA KUPITIA KAMPENI YAO YA 'GUSA MAISHA YAO' KUMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE"
Post a Comment