title : TUMIENI MAFUNDI UMEME WENYE LESENI KWA USALAMA WENU - EWURA
kiungo : TUMIENI MAFUNDI UMEME WENYE LESENI KWA USALAMA WENU - EWURA
TUMIENI MAFUNDI UMEME WENYE LESENI KWA USALAMA WENU - EWURA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ni Taasisi ya Udhibiti wa huduma za sekta mtambuka iliyoundwa kwa Sheria EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania.
Shughuli kuu za Mamlaka ni pamoja na kudhibiti sekta za Nishati na Maji Tanzania Bara. EWURA ina wajibu wa kuzidhibiti sekta hizi kiufundi na kiuchumi. Sekta ndogo zinazothibitiwa na Mamlaka ni Petroli, Gesi Asilia, Umeme na Maji na Usafi wa Mazingira.
Moja ya majukumu makuu ya EWURA ni kutoa, kudurusu na kufuta eseni za huduma mbalimbali inazozidhibiti ikiwemo leseni za Makandari wa Umeme na wote wanaojihusisha na shughuli za utandazi na ufungaji umeme kwa ngazi/ madaraja mbalimbali.
Mfano wa leseni ya kufunga umeme iliyotolewa na EWURA
Kwa mujibu wa kifungu cha 8(1) cha Sheria ya Umeme ya mwaka 2008, kazi za ufungaji umeme ni shughuli inayohitaji leseni ya EWURA. Kwa mantiki hiyo, ni kosa la jinai kuendesha shughuli za ufungaji umeme bila kuwa na leseni halali iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).
Hivyo makala TUMIENI MAFUNDI UMEME WENYE LESENI KWA USALAMA WENU - EWURA
yaani makala yote TUMIENI MAFUNDI UMEME WENYE LESENI KWA USALAMA WENU - EWURA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TUMIENI MAFUNDI UMEME WENYE LESENI KWA USALAMA WENU - EWURA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/tumieni-mafundi-umeme-wenye-leseni-kwa.html
0 Response to "TUMIENI MAFUNDI UMEME WENYE LESENI KWA USALAMA WENU - EWURA"
Post a Comment