title : TIMU ZA TANZANIA KIKAPU ZAANZA VIBAYA MICHUANO YA KANDA YA TANO AFRIKA
kiungo : TIMU ZA TANZANIA KIKAPU ZAANZA VIBAYA MICHUANO YA KANDA YA TANO AFRIKA
TIMU ZA TANZANIA KIKAPU ZAANZA VIBAYA MICHUANO YA KANDA YA TANO AFRIKA
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Timu tatu za Tanzania za mpira wa kikapu zimeshindwa kutamba mbele ya timu kutoka nchi zingine katika mashindano ya klabu bingwa kanda ya tano yanayoendelea katika jiji la Kampala nchini Uganda.
Michuano ya Klabu Bingwa kanda ya tano (Zone 5) yameanza jana huku timu za Tanzania zikionekana kuanza vibaya, wanaume wakianza kwa hatua ya makundi na wanawake wakianza kwa mtoano.
Tanzania imewakilishwa na Savio na ABC kwa upande wa wanaume na DB Lioness kwa upande wa wanawake. Matokeo ya siku mbili ya michuano ya kanda ya tano yanayoendelea jiji la Kampala.
Day 1
APR 45 (Rwanda ) /KCCA (Uganda) 57 -wanawake
UCU 108 (Uganda) /Horseed 42 (somalia) -wanawake
Equity Bank 70 (Kenya) / DB Lioness 48 (Tanzania) -wanawake
Hawasa 43(Ethiopia)/ Patriot 110 (rwanda) -wanaume
KPA 108 (Kenya) /Gonder city 35 (Ethiopia) -wanaume
City Oilers 93 (Uganda)/ Savio 46 (Tanzania) -wanaume
Betway Power 87 (Uganda) / ABC 55 (Tanzania) -wanaume
Day 2
APR 84 (Rwanda ) /DB Lioness 48 74 (Tanzania) - wanawake
KPA 81 (Kenya) /ABC 77 (Tanzania ) -wanaume
Patriots 77(Rwanda) /Savio 48 (Tanzania ) - wanaume
KCCA 51 (Uganda) /Equiyt Bank 56 (Kenya) - wanawake
UCU 69 (Uganda) /KPA 68 (Kenya) - wanawake
City Oliers 111 (Uganda) /Hawasa City 41 (Ethiopia) - wanawake
Betway Power 113 (Uganda) /Gonder City 31 (Ethiopia) - wanaume
Hivyo makala TIMU ZA TANZANIA KIKAPU ZAANZA VIBAYA MICHUANO YA KANDA YA TANO AFRIKA
yaani makala yote TIMU ZA TANZANIA KIKAPU ZAANZA VIBAYA MICHUANO YA KANDA YA TANO AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TIMU ZA TANZANIA KIKAPU ZAANZA VIBAYA MICHUANO YA KANDA YA TANO AFRIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/timu-za-tanzania-kikapu-zaanza-vibaya.html
0 Response to "TIMU ZA TANZANIA KIKAPU ZAANZA VIBAYA MICHUANO YA KANDA YA TANO AFRIKA"
Post a Comment