Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim Schoolkiungo :
Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School
Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI AMS
Alfalah Muslim School inatangaza nafasi ya kazi zifuatazo:
1.Mwalimu wa lugha ya Kiingereza nafasi moja
2. Mwalimu wa hesabati nafasi moja
Sifa:
-Awe amepata mafunzo ya ualimu cheti au diploma kwa muktadha wa solo husika
Pahala pa kazi- Alfalah Primary School
3.Mwalimu wa masomo ya biashara nafasi moja
4.Mwalimu wa Hesabati na Fikizikia au Hesabati na Kemia
Nafasi mbili
5.Mwalimu wa sayansi ya komputa (IT), nafasi moja
Sifa:
Awe amehitimu ngazi ya Stashada au Shahada ya ualimu kwa masomo husika
Pahala pa kazi: Alfalah Muslim Sekondari
Maombi yatumwe kwa Mkurugenzi, Alfalah Muslim School
,Mombasa, Zanzibar si zaidi ya tarehe 15 Novemba na usaili unatarajiwa kufanyika tarehe 2 Disemba
Hivyo makala Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School
yaani makala yote Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/tangazo-la-nafasi-ya-kazi-ya-ualimu-al.html
Related Posts :
Afya : Kaimu mganga mfawidhi Asimamishwa Kazi kupisha Uchunguzi wa kitaalamu, Tabora
NA TIGANYA VINCENT
19 MACHI 2018
SERIKALI ya Mkoa wa Tabora kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo imeamua kumsimam… Read More...
WAIMBAJI MAHIRI WA NYIMBO ZA INJILI KUTIKISA KANDA YA ZIWA TAMASHA LA PASAKA APRILI MOSI
Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
KADIRI kengele inavyogonga kuashiria sikukuu ya Pasaka ipo jirani, ndivyo dhahiri kuwa siku za kuelekea Ta… Read More...
MWAKILISHI BENKI YA DUNIA AFANYA MAZUNGUMZO NA JAJI MKUU,ARIDHISHWA UTEKELEZAJI MRADI MABORESHO WA HUDUMA ZA KIMAHAKAMANa Mary Gwera, Mahakama
Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Miradi ya Utawala Bora kutoka Benki ya Dunia (WB), Bi. Nicola Smithers ameip… Read More...
Habari : Pitia Hapa Vichwa vya Magazeti ya Leo, 19:03:2018
Wazalendo 25 Blog , is a Social Media which gives our Audience current News, Entertainm… Read More...
Utalii : Kamati ya Bunge Yatembelea Mapori ya Akiba, Kagera
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Nape Nnauye akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo kushuhudia maporomok… Read More...
0 Response to "Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School"
Post a Comment