title : TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WETU WANAOKOSA HUDUMA YA UMEMESHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO
kiungo : TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WETU WANAOKOSA HUDUMA YA UMEMESHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO
TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WETU WANAOKOSA HUDUMA YA UMEMESHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO
Mwambawahabari
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi Wateja wake wa maeneo mbalimbali ambao hawana huduma ya umeme kutokana na Matengenezo Kituo cha kuzalisha umeme kwa gesi asilia cha Kinyerezi I.
Kazi bado inaendelea ya kurekebisha Mfumo wa gesi uliopata hitilafu.
Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.
Toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400 na 0768 985100
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
http://ift.tt/2z4rvli /http://twitter.com/tanescoyetu
Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
31/10/2017
Hivyo makala TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WETU WANAOKOSA HUDUMA YA UMEMESHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO
yaani makala yote TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WETU WANAOKOSA HUDUMA YA UMEMESHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WETU WANAOKOSA HUDUMA YA UMEMESHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/taarifa-ya-kuomba-radhi-wateja-wetu.html
0 Response to "TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WETU WANAOKOSA HUDUMA YA UMEMESHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO"
Post a Comment