title : SIMBA WAANZA RASMI KUWATAFUTIA DAWA YANGA BAADA YA KUWASILI ZANZIBAR, WAPIGA MTIZI JESHINI
kiungo : SIMBA WAANZA RASMI KUWATAFUTIA DAWA YANGA BAADA YA KUWASILI ZANZIBAR, WAPIGA MTIZI JESHINI
SIMBA WAANZA RASMI KUWATAFUTIA DAWA YANGA BAADA YA KUWASILI ZANZIBAR, WAPIGA MTIZI JESHINI
Kikosi cha Simba kimeanza mazoezi mepesi jioni ya leo katika uwanja wa Jeshini Migombani Mjini Unguja ambapo wapo Kisiwani hapa kwaajili ya Kambi maalum kujiandaa na mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania bara dhidi ya Watani wao Yanga utakaopigwa Oktoba 28, 2017 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salam.
Jumla ya wachezaji 24 wa Simba pamoja na viongozi
wao wamewasili Unguja asubuhi ya leo wakitokea ijini Dar es salam kwa furaha baada ya Jumamosi iliyopita kuwachapa 4-0 Njombe Mji kwenye Uwanja
wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Simba wataendelea kufanya mazoezi kila siku asubuhi kuanzia saa 3:00 katika uwanja wa Amaan na saa 10:00 za jioni katika uwanja wa Jeshini Migombani.
Kikosi hicho kinachonolewa na Mkameroon Joseph Omog pamoja na msaidizi wake mpya Mburundi Masoud Djuma Irambona kimefikia kwenye Hoteli ya Mtoni Marine iliyopo Maruhubi Mjini Unguja.
Hivyo makala SIMBA WAANZA RASMI KUWATAFUTIA DAWA YANGA BAADA YA KUWASILI ZANZIBAR, WAPIGA MTIZI JESHINI
yaani makala yote SIMBA WAANZA RASMI KUWATAFUTIA DAWA YANGA BAADA YA KUWASILI ZANZIBAR, WAPIGA MTIZI JESHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA WAANZA RASMI KUWATAFUTIA DAWA YANGA BAADA YA KUWASILI ZANZIBAR, WAPIGA MTIZI JESHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/simba-waanza-rasmi-kuwatafutia-dawa.html
0 Response to "SIMBA WAANZA RASMI KUWATAFUTIA DAWA YANGA BAADA YA KUWASILI ZANZIBAR, WAPIGA MTIZI JESHINI"
Post a Comment