title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na (kushoto) Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Mmanga Mjengo Majawiri
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Nd,Khadija Bakari Juma akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd,Abdalla Mzee Abdulla,(kulia)
Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Prof.Idrissa Rai (kushoto) alipokuwa akielezea jambo wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Uongiozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Mmanga Mjengo Majawiri
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakifuatilia kwa makini taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 iliyosomwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Nd,Khadija Bakari Juma(wa pili kushoto) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)(Picha na Ikulu )
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_31.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar."
Post a Comment