title : RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO
RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Amina Salum Ali (kulia) akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwepo na Viongozi wengine wa Wizara hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Nd,Juma Ali Juma akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo Mshauri wa Rais,Ushirikiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa na Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Ndg. Ali Khamis Juma. Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-wa-zanzibar-dktshein-azungumza-na.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO"
Post a Comment