Rais Dk Shein azindua Masjid Saeed AlBwardy Kinyasini Bandamaji

Rais Dk Shein azindua Masjid Saeed AlBwardy Kinyasini Bandamaji - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dk Shein azindua Masjid Saeed AlBwardy Kinyasini Bandamaji, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dk Shein azindua Masjid Saeed AlBwardy Kinyasini Bandamaji
kiungo : Rais Dk Shein azindua Masjid Saeed AlBwardy Kinyasini Bandamaji

soma pia


Rais Dk Shein azindua Masjid Saeed AlBwardy Kinyasini Bandamaji

 Jengo la Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa kaskazini Unguja,kwa ufadhili ya Sheikh Saaed Al Buwardy chini ua Usimamizi wa Sheikh Yakob Osmna na mtoto wake Adil Yakob Osman,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017. 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Viwanja vya Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini"A" Mkoa wa Kaskazini Unguja kabla ya kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa Sheikh Saeed Al Bwardy kwa usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake Adil Yakob,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Sheikh Abdulkadir Imamu wa Masjid Maamur kutoka Dar es Salaam pamoja na Viongozi wengine na mashekhe alipofika katika viwanja vya Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy na   uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji  Wilaya ya Kaskazini "A" kwa ufadhili wa  Sheikh Saeed Al Bwardy chini ya usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake AdilYakob,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017. 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Bw.Samir Ayoub mmoja wa wanafamilia ya Bw.Yakoub Othman, msimamizi wa ujenzi wa msikiti masjid Saeed Al Buwardy katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini"A"  Mkoa wa Kaskazini Unguja,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji  Wilaya ya Kaskazini "A" kwa ufadhili wa  Sheikh Saeed Al Bwardy chini ya usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake AdilYakob,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017.

 Baadhi ya wananchi na Waislamu waliohudhuria katika uzinduzi wa Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa kaskazini Unguja,kwa ufadhili ya Sheikh Saaed Al Buwardy chini ua Usimamizi wa Sheikh Yakob Osmna na mtoto wake Adil Yakob Osman,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi na Mashekhe mbali mbali mara baada ya kuuzindua Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa kaskazini Unguja,kwa ufadhili ya Sheikh Saaed Al Buwardy chini ua Usimamizi wa Sheikh Yakob Osmna na mtoto wake Adil Yakob Osman,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017.
 Baadhi ya wananchi na Waislamu waliohudhuria katika uzinduzi wa Msikiti Masjid Saeed Al Buwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa kaskazini Unguja,kwa ufadhili ya Sheikh Saaed Al Buwardy chini ua Usimamizi wa Sheikh Yakob Osmna na mtoto wake Adil Yakob Osman,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Mashekhe na Viongozi mbali mbali na Waislamu  wakiwa katika Swala ya Ijumaa iliyosalishwa na Sheikh Abdulkadir Imamu wa Masjid Maamur kutoka Dar es Salaam (mbele) baada ya uzinduzi rasmi wa Msikiti Saeed Al Bwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji  Wilaya ya Kaskazini "A" kwa ufadhili wa  Sheikh Saeed Al Bwardy chini ya usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake Adil Yakob Osman ,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa khutba ya uzinduzi wa  Msikiti Masjid Saeed Al Bwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji  Wilaya ya Kaskazini "A" kwa ufadhili wa  Sheikh Saeed Al Bwardy chini ya usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake Adil Yakob,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa khutba ya uzinduzi wa  Msikiti Masjid Saeed Al Bwardy uliojengwa katika Kijiji cha Kinyasini Bandamaji  Wilaya ya Kaskazini "A" kwa ufadhili wa  Sheikh Saeed Al Bwardy chini ya usimamizi wa Sheikh Yakob Osman na Mtoto wake Adil Yakob,[Picha na Ikulu.] 06/10/2017.


Hivyo makala Rais Dk Shein azindua Masjid Saeed AlBwardy Kinyasini Bandamaji

yaani makala yote Rais Dk Shein azindua Masjid Saeed AlBwardy Kinyasini Bandamaji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein azindua Masjid Saeed AlBwardy Kinyasini Bandamaji mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-dk-shein-azindua-masjid-saeed.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Dk Shein azindua Masjid Saeed AlBwardy Kinyasini Bandamaji"

Post a Comment