Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
kiungo : Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.

soma pia


Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.

Mhe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe:Zelote Stephen Zelote wa kwanza kushoto akimpokea kaimu katibu mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka alipowasili ofisi za Mkoa kuzungumza Mambo mbali mbali ya kimaendelea pamoja na Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2015.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa pili kulia akizungumza Mambo mbali mbali ya kimaendelea pamoja na Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2015 pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Zelote Stephen Zelote wa kwanza kulia.
 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe:Zelote Stephen Zelote wa kwanza kushoto akielezea jinsi ilani ya Chama cha Mapinduzi inavyo tekelezwa katika mkoa wake kwa Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipowasili Mkoani hapo wakati akiendelea na ziara yake ya kikazi Mkoan Rukwa.

Ndg:Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa kwanza kushoto akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe:Zelote Stephen Zelotemara baada ya kumaliza
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa NNE Kulia akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Zelote Stephen Zelote wa nne kushoto pamoja na Viongozi Mbalimbali wa Chama na Serikali  Mkoa wa Rukwa.
(Picha na FAHADI SIRAJI)


Hivyo makala Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.

yaani makala yote Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/kaimu-katibu-mkuu-uvccm-shaka-hamdu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa."

Post a Comment