Polisi Tanzania yaichapa Polisi Dar bao 2-0

Polisi Tanzania yaichapa Polisi Dar bao 2-0 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Polisi Tanzania yaichapa Polisi Dar bao 2-0, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Polisi Tanzania yaichapa Polisi Dar bao 2-0
kiungo : Polisi Tanzania yaichapa Polisi Dar bao 2-0

soma pia


Polisi Tanzania yaichapa Polisi Dar bao 2-0

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Charles Mkumbo akisalimiana na wachezaji wa timu ya Polisi Tanzania kabla ya kuanza kwa mchezo wa ligi daraja la kwanza ulioikutanisha timu hiyo na Polisi Dar es Salaam katika uwanja wa Ushirika-Moshi Mkoani Kilimanjaro ambapo ulimalizika kwa Polisi Tanzania kupata ushindi wa magoli 2-0.
Mchezaji wa Polisi Tanzania Saimon Fanuel akionyesha umahiri wa kusakata soka wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza ulioikutanisha timu hiyo na Polisi Dar es Salaam katika uwanja wa Ushirika-Moshi Mkoani Kilimanjaro ambapo ulimalizika kwa Polisi Tanzania kupata ushindi wa magoli 2-0.
Wachezaji wa Polisi Tanzania wakishangilia baada ya kujipatia goli la pili katika mchezo wa ligi daraja la kwanza kundi B ulioikutanisha timu hiyo na Polisi Dar es Salaam katika uwanja wa Ushirika-Moshi Mkoani Kilimanjaro ambapo ulimalizika kwa Polisi Tanzania kupata ushindi wa magoli 2-0.
Wachezaji wa Polisi Tanzania na Polisi Dar es Salaam wakiwania mpira katika lango la Polisi Dar es Salaam katika mchezo wa ligi daraja la kwanza kundi B uliozikutanisha timu hizo katika uwanja wa Ushirika-Moshi Mkoani Kilimanjaro ambapo ulimalizika kwa Polisi Tanzania kupata ushindi wa magoli 2-0.(Picha na Jeshi la Polisi).


Hivyo makala Polisi Tanzania yaichapa Polisi Dar bao 2-0

yaani makala yote Polisi Tanzania yaichapa Polisi Dar bao 2-0 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Polisi Tanzania yaichapa Polisi Dar bao 2-0 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/polisi-tanzania-yaichapa-polisi-dar-bao.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Polisi Tanzania yaichapa Polisi Dar bao 2-0"

Post a Comment