NEEC YAFUNGUA FURSA YA WANANCHI KUMILIKI UCHUMI.

NEEC YAFUNGUA FURSA YA WANANCHI KUMILIKI UCHUMI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEEC YAFUNGUA FURSA YA WANANCHI KUMILIKI UCHUMI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEEC YAFUNGUA FURSA YA WANANCHI KUMILIKI UCHUMI.
kiungo : NEEC YAFUNGUA FURSA YA WANANCHI KUMILIKI UCHUMI.

soma pia


NEEC YAFUNGUA FURSA YA WANANCHI KUMILIKI UCHUMI.

Na Ismail Ngayonga.

SERIKALI ya Awamu ya Tano inaingia katika mwaka wa pili wa utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa miaka mitano wa mwaka 2016/17-2020/21 unaojikita katika ujenzi wa uchumi wa Viwanda na hivyo kufikia nchi ya kipato cha kati ifikapo mwaka 2025.

Uamuzi wa Serikali wa kujenga uchumi wa viwanda umelenga katika kuleta maendeleo jumuishi na endelevu kwa kutumia rasilimali zilizopo na hivyo kuchangia katika pato la taifa pamoja na kutoa nafasi nyingi na endelevu za ajira.

Ili kufikia malengo hayo juhudi mbalimbali zimefanywa na Serikali na mojawapo ya juhudi hizo ni kuandaa  Mkakati wa Taifa wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NMSFEE) unaotekelezwa na Wizara na Taasisi zake; Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Sekta Binafsi pamoja na Wadau wa Maendeleo.

Utekelezaji wa Sera ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi unasimamiwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ambalo ni chombo cha juu kitaifa cha kusimamia, kufuatilia na kuratibu utekelezaji wa shughuli zilizoainishwa katika ya Sera ya Taifa ya Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi ya mwaka 2004.

NMSFEE unatekelezwa kupitia Mwongozo ulioandaliwa ili kutoa maelekezo ya namna ya kutekeleza ikiwemo uratibu, usimamizi, ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji wa sera katika ngazi na sekta zote za kiuchumi.


Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, (NEEC), Beng’ Issa.



Hivyo makala NEEC YAFUNGUA FURSA YA WANANCHI KUMILIKI UCHUMI.

yaani makala yote NEEC YAFUNGUA FURSA YA WANANCHI KUMILIKI UCHUMI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEEC YAFUNGUA FURSA YA WANANCHI KUMILIKI UCHUMI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/neec-yafungua-fursa-ya-wananchi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEEC YAFUNGUA FURSA YA WANANCHI KUMILIKI UCHUMI."

Post a Comment