Mapinduzi Imeibuka Kidedea Ligi Mabingwa ya Wilaya Kwa Kuifunga New Power.

Mapinduzi Imeibuka Kidedea Ligi Mabingwa ya Wilaya Kwa Kuifunga New Power. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mapinduzi Imeibuka Kidedea Ligi Mabingwa ya Wilaya Kwa Kuifunga New Power., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mapinduzi Imeibuka Kidedea Ligi Mabingwa ya Wilaya Kwa Kuifunga New Power.
kiungo : Mapinduzi Imeibuka Kidedea Ligi Mabingwa ya Wilaya Kwa Kuifunga New Power.

soma pia


Mapinduzi Imeibuka Kidedea Ligi Mabingwa ya Wilaya Kwa Kuifunga New Power.

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Timu ya Mapinduzi kutoka Wilaya ya Kusini Unguja imefanikiwa kuondoka na alama 3 muhimu baada ya kuifunga 1-0 New Power kutoka Wilaya ya Kati, kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa wa Daraja la Pili Wilaya pambano lililopigwa katika Uwanja wa Amaan.

Bao pekee la Mapinduzi limefungwa na Ali Ameir dakika ya 77 ya mchezo huo.
Ligi hiyo itaendelea tena kama ratiba ilivyo hapo chini:-
11/7/017 Kianga Int vs Shingwi Heroes
12/7/017 African Boys vs Kwerekwe City
15/7/017 New King vs Super Tiger
16/7/017 Uhuru vs Nyangobo
Mechi zote hizo zitachezwa saa 10:00 alasiri uwanja wa Amaan


Hivyo makala Mapinduzi Imeibuka Kidedea Ligi Mabingwa ya Wilaya Kwa Kuifunga New Power.

yaani makala yote Mapinduzi Imeibuka Kidedea Ligi Mabingwa ya Wilaya Kwa Kuifunga New Power. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mapinduzi Imeibuka Kidedea Ligi Mabingwa ya Wilaya Kwa Kuifunga New Power. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mapinduzi-imeibuka-kidedea-ligi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mapinduzi Imeibuka Kidedea Ligi Mabingwa ya Wilaya Kwa Kuifunga New Power."

Post a Comment