title : Namba maalumu yazinduliwa kuchangia Mfuko wa Ukimwi
kiungo : Namba maalumu yazinduliwa kuchangia Mfuko wa Ukimwi
Namba maalumu yazinduliwa kuchangia Mfuko wa Ukimwi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa namba maalumu ya kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi. Wanaoshuhudia kulia kwake ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na Mwenyekiti wa Bodi ya mfuko huo, Godfrey Simbeye. Kushoto kwa Mhagama ni Waziri wa TAMISEMI, Suleiman Jafo na anayemfuatia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Khamis Mwinyimvua.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (katikati) akifurahia pamoja na viongozi wenzake mara baada ya uzinduzi huo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akimkabidhi hundi ya sh. milioni 660 Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.
Hivyo makala Namba maalumu yazinduliwa kuchangia Mfuko wa Ukimwi
yaani makala yote Namba maalumu yazinduliwa kuchangia Mfuko wa Ukimwi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Namba maalumu yazinduliwa kuchangia Mfuko wa Ukimwi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/namba-maalumu-yazinduliwa-kuchangia.html
0 Response to "Namba maalumu yazinduliwa kuchangia Mfuko wa Ukimwi"
Post a Comment