title : MKUU WA MKOA KASKAZINI PEMBA ATEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUEKEZWA NDANI YA MKOA WAKE
kiungo : MKUU WA MKOA KASKAZINI PEMBA ATEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUEKEZWA NDANI YA MKOA WAKE
MKUU WA MKOA KASKAZINI PEMBA ATEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUEKEZWA NDANI YA MKOA WAKE
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Nd. Omar Khamis Othman (kati) akimsikiliza afisa kutoka Mamlaka ya Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA) zone ya Pemba, Nd. Ali Shaaban Suleiman akitoa ufafanuzi wa maeneo yanayotegemewa kuwekezwa.
Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Bi. Salama Mbarouk Khatib akimkaguza Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Nd. Omar Khamis Othman katika eneo linalotarajiwa kuwekezwa Hoteli kubwa ya kitalii eneo la Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Eneo la fukwe Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba linalotarajiwa kuekezwa.
Picha na Mwamize Muhammed Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Pemba.
Hivyo makala MKUU WA MKOA KASKAZINI PEMBA ATEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUEKEZWA NDANI YA MKOA WAKE
yaani makala yote MKUU WA MKOA KASKAZINI PEMBA ATEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUEKEZWA NDANI YA MKOA WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA KASKAZINI PEMBA ATEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUEKEZWA NDANI YA MKOA WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mkuu-wa-mkoa-kaskazini-pemba-atembelea_1.html
0 Response to "MKUU WA MKOA KASKAZINI PEMBA ATEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUEKEZWA NDANI YA MKOA WAKE"
Post a Comment