MWENYEKITI TPLB ATEUA KAMATI MPYA YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI

MWENYEKITI TPLB ATEUA KAMATI MPYA YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWENYEKITI TPLB ATEUA KAMATI MPYA YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWENYEKITI TPLB ATEUA KAMATI MPYA YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI
kiungo : MWENYEKITI TPLB ATEUA KAMATI MPYA YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI

soma pia


MWENYEKITI TPLB ATEUA KAMATI MPYA YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Clement Sanga ameteua Kamati mpya ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi.

Wajumbe wanaounda Kamati hiyo ambayo ataiongoza yeye mwenyewe ni Shani Mligo (Makamu Mwenyekiti), Boniface Wambura (Katibu), Issa Batenga, Leslie Liunda na Wakili Saleh Njaa.

Wengine ni Dr Ellyson Maeja, George Malawa, Isaac Chanji, Baruan Muhuza, Mbakileki Mutahaba na Ally Mayay.

Kamati hiyo ya TPLB ndiyo inayoshughulikia uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL), na Ligi Daraja la Pili (SDL).

Pia Mwenyekiti ameteua wajumbe wawili kuingia kwenye Kamati ya Uongozi ya TPLB. Wajumbe hao ni Kanali Charles Mbuge ambaye ni Mwenyekiti wa timu ya Ruvu Shooting, na Abuu Changawa (Majeki).

Kwa mujibu wa Ibara ya 28(vi) ya Kanuni za Uendeshaji (Governing Regulations) za TPLB, Mwenyekiti ana nafasi ya kuteua wajumbe wawili kuingia kwenye Kamati ya Uongozi.

Boniface Wambura
Ofisa Mtendaji Mkuu
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB)


Hivyo makala MWENYEKITI TPLB ATEUA KAMATI MPYA YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI

yaani makala yote MWENYEKITI TPLB ATEUA KAMATI MPYA YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI TPLB ATEUA KAMATI MPYA YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mwenyekiti-tplb-ateua-kamati-mpya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWENYEKITI TPLB ATEUA KAMATI MPYA YA UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA LIGI"

Post a Comment