Msanii Elizabeth Michael "Lulu" kizimbani

Msanii Elizabeth Michael "Lulu" kizimbani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msanii Elizabeth Michael "Lulu" kizimbani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msanii Elizabeth Michael "Lulu" kizimbani
kiungo : Msanii Elizabeth Michael "Lulu" kizimbani

soma pia


Msanii Elizabeth Michael "Lulu" kizimbani

Muigizaji wa Filamu nchini, Elizabeth Michael "Lulu" akiwa katika Mahakama kuu Dar es salaam akisubiri kuanza kusikilizwa kwa kesi inayomkabili ya mauaji ya bila kukusudia. Lulu anakabilia na kesi ya kifo cha aliyekuwa muigizaji mwenzake wa filamu za Kibongo, Marehemu Steven Kanumba aliyefariki dunia Aprili 7, 2012 jijini Dar es salaam. Kulia ni Mama wa Muigizaji huyo.

HABARI KAMILI ITAKUJIA BAADAYE KIDOGO


Hivyo makala Msanii Elizabeth Michael "Lulu" kizimbani

yaani makala yote Msanii Elizabeth Michael "Lulu" kizimbani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msanii Elizabeth Michael "Lulu" kizimbani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/msanii-elizabeth-michael-lulu-kizimbani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msanii Elizabeth Michael "Lulu" kizimbani"

Post a Comment