title : MKUTANO WA 33 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT) WAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : MKUTANO WA 33 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT) WAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
MKUTANO WA 33 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT) WAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Abdallah Ngodu akitoa neno la utangulizi kwa wajumbe wa jumuiya hiyo (hawapo pichani) wakati wa jukwaa la mafunzo kwa wajumbe hao katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mwanyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Gulamhafeez Mukadam akizungumza na wajumbe wa jumuiya hiyo (hawapo pichani) wakati akifungua jukwaa la mafunzo kwa wajumbe wa jumuiya hiyo katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mh. Isaya Mwita akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakati wa jukwa la mafunzo kwa wajumbe hao katika mkutano mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakimsikiliza Mwanyekiti wa Jumuiya hiyo Gulamhafeez Mukadam (hayupo pichani) wakati akifungua jukwaa la mafunzo kwa wajumbe hao katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakimsikiliza Mwanyekiti wa Jumuiya hiyo Gulamhafeez Mukadam wakati akifungua jukwaa la mafunzo kwa wajumbe hao katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo
Hivyo makala MKUTANO WA 33 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT) WAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote MKUTANO WA 33 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT) WAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA 33 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT) WAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mkutano-wa-33-wa-jumuiya-ya-tawala-za.html
0 Response to "MKUTANO WA 33 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT) WAFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment