title : MKIKITA WAMLAKI KWA SHANGWE MFILIPINO MTAALAMU WA MASOKO
kiungo : MKIKITA WAMLAKI KWA SHANGWE MFILIPINO MTAALAMU WA MASOKO
MKIKITA WAMLAKI KWA SHANGWE MFILIPINO MTAALAMU WA MASOKO
Na Richard Mwaikenda
UONGOZI wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita), ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Dk. Kisusui S Kissui na Mkurugenzi Mtendaji, Adam Ngamange kumlaki Mtaalamu wa Masoko kutoka Ufilipino, Dk.Wenifredo Muni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Mtalaamu huyo ambaye atakuwa nchini kwa miezi mitatu kwa mualiko wa Mkikita atafanya semina mbalimbali pamoja na kutembelea mashamba yanayosimamiwa na matandao huo yakiwemo pia ya watu binafsi blia kusahau mifugo.
Akizungmza wakati wa mapokezi, Mkurugenzi wa Mkikita, Adam Ngamange amesema kuwa ujio wa mtalaamu huyo utawanufaisha wakulima na wafugaji wa mtandao huo kwa kupanua uwanja mpana wa masoko ya mazao na mifugo nje ya nchi.
Aliwaasa wanachama kutoiacha fursa hiyo pekee ambayo haijawahi tokea na kuwataka kuhudhuria semina zilizoandaliwa ili wapate matokeo chanya ya fursa za masoko duniani.
Katika mapokezi hayo Mkikita iliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Dk. Kissui S Kissui, Wajumbe wa Bodi, Catherina Edward, Neema Fredrick na Elizabeth na baadhi ya wanachama wa mtandao huo.
Wadau wengine waliojitokeza kumpokea ni aliyekuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Rashid Seif., Haji Mohamed, Suchekk Bangragh na Mbaga Edward.

Hivyo makala MKIKITA WAMLAKI KWA SHANGWE MFILIPINO MTAALAMU WA MASOKO
yaani makala yote MKIKITA WAMLAKI KWA SHANGWE MFILIPINO MTAALAMU WA MASOKO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKIKITA WAMLAKI KWA SHANGWE MFILIPINO MTAALAMU WA MASOKO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mkikita-wamlaki-kwa-shangwe-mfilipino.html
0 Response to "MKIKITA WAMLAKI KWA SHANGWE MFILIPINO MTAALAMU WA MASOKO"
Post a Comment