MELI YA KIFAHARI YA MFALME QABOOS YAWASILI ZANZIBAR

MELI YA KIFAHARI YA MFALME QABOOS YAWASILI ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MELI YA KIFAHARI YA MFALME QABOOS YAWASILI ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MELI YA KIFAHARI YA MFALME QABOOS YAWASILI ZANZIBAR
kiungo : MELI YA KIFAHARI YA MFALME QABOOS YAWASILI ZANZIBAR

soma pia


MELI YA KIFAHARI YA MFALME QABOOS YAWASILI ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idi wapili kushoto akisalimiana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt,Mohammed Bin Hamed Al Rumh mara baada ya kuwasili kwa Meli ya Kifahari ya Mfalme Qaboos wa Oman FULK AL SALAMAH wakiwa na ziara ya siku Nne kwa Lengo la kuimarisha umoja Amani na Upendo Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idi kulia akisalimiana na Mabaharia mara baada ya kuingia katika Meli ya Kifahari ya Mfalme Qaboos wa Oman FULK AL SALAMAH iliofika katika Bandari ya Zanzibar pamoja na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman kwa Ziara ya Siku Nne ikiwa na lengo la kuimarisha umoja Amani na Upendo Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idi katikati akiongozwa na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt,Mohammed Bin Hamed Al Rumh wa mbele mara baada ya kuingia katika Meli ya Kifahari ya Mfalme Qaboos wa Oman FULK AL SALAMAH iliofika zanzibar wakiwa na ziara ya siku Nne kwa Lengo la kuimarisha umoja Amani na Upendo Zanzibar.
Meli ya Kifahari ya Mfalme Qaboos wa Oman FULK AL SALAMAH ikiingia katika Bandari ya Zanzibar ikitokea Oman ikiwa na Lengo la kuimarisha umoja Amani na Upendo,ikiongozwa na Waziri wa Mafuta na Gesi Dkt,Mohammed Bin Hamed Al Rumhi wa Serikali ya Oman.
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idi wamwanzo kulia akiwa pamoja na Mgeni wake Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt,Mohammed Bin Hamed Al Rumhi kulia yake wakiangalia Ngoma ya Utamaduni (Msewe) baada ya kuwasili kwa Meli ya Kifahari ya Mfalme Qaboos wa Oman FULK AL SALAMAH wakiwa na ziara ya siku Nne kwa Lengo la kuimarisha umoja Amani na Upendo Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idi akiwa pamoja na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt,Mohammed Bin Hamed Al Rumhi pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakitembelea vikundi mbalimbali vya Ngoma ya Utamaduni mara baada ya kuwasili kwa Meli ya Kifahari ya Mfalme Qaboos wa Oman FULK AL SALAMAH wakiwa na ziara ya siku Nne kwa Lengo la kuimarisha umoja Amani na Upendo Zanzibar.


Hivyo makala MELI YA KIFAHARI YA MFALME QABOOS YAWASILI ZANZIBAR

yaani makala yote MELI YA KIFAHARI YA MFALME QABOOS YAWASILI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MELI YA KIFAHARI YA MFALME QABOOS YAWASILI ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/meli-ya-kifahari-ya-mfalme-qaboos.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MELI YA KIFAHARI YA MFALME QABOOS YAWASILI ZANZIBAR"

Post a Comment