Matukio : Waziri, Mkuchika Awaelekeza Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa Weledi na Kasi

Matukio : Waziri, Mkuchika Awaelekeza Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa Weledi na Kasi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Waziri, Mkuchika Awaelekeza Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa Weledi na Kasi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Waziri, Mkuchika Awaelekeza Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa Weledi na Kasi
kiungo : Matukio : Waziri, Mkuchika Awaelekeza Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa Weledi na Kasi

soma pia


Matukio : Waziri, Mkuchika Awaelekeza Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa Weledi na Kasi



Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (wa kwanza kulia), akimpokea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt.(Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) kabla ya kuongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, jijini Dar es salam.Wengine katika picha ni watendaji wa Sekretarieti ya Ajira.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za Sekretareti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kabla ya kuongea na watumishi na watendaji wa Sekretarieti hiyo jijini Dar es salaam kuhusu utekelezaji wa majukumu na utatuzi wa changamoto zilizopo.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) kuongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi (hawapo pichani).

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi akifanunua hoja alizoulizwa kuhusu utendaji wa taasisi anayoiongoza mapema.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (hawapo pichani), jijini Dar es salaam.

Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) Dkt. Henry Mambo akitoa maelezo kuhusu mafanikio na changamoto za TPSC kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb).

Watendaji wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) ,jijini Dar es salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu kwa vyombo vya habari kuhusu umuhimu wa vikao kazi na taasisi anazoziongoza, jijini Dar es salaam.

Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt. Henry Mambo (kushoto) akikabidhi ripoti ya mafanikio na changamoto kuhusu TPSC kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), jijini Dar es salaam

Mtumishi wa TPSC akiwasilisha maoni kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kilichofanyika, jijini Dar es salaam

Mtumishi wa TPSC akiwasilisha maoni kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kilichofanyika ,jijini Dar es salaam.


Hivyo makala Matukio : Waziri, Mkuchika Awaelekeza Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa Weledi na Kasi

yaani makala yote Matukio : Waziri, Mkuchika Awaelekeza Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa Weledi na Kasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Waziri, Mkuchika Awaelekeza Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa Weledi na Kasi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/matukio-waziri-mkuchika-awaelekeza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Waziri, Mkuchika Awaelekeza Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa Weledi na Kasi"

Post a Comment