Matukio : Taswira Mbalimbali ya Kuapishwa kwa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya

Matukio : Taswira Mbalimbali ya Kuapishwa kwa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Taswira Mbalimbali ya Kuapishwa kwa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Taswira Mbalimbali ya Kuapishwa kwa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya
kiungo : Matukio : Taswira Mbalimbali ya Kuapishwa kwa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya

soma pia


Matukio : Taswira Mbalimbali ya Kuapishwa kwa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Adam Kigoma Malima kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpatia nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Adam Kigoma Malima kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Alexander Pastory Mnyeti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Alexander Pastory Mnyeti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe.Joackim Leonard Wangabo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. Kabla ya uteuzi huu Bw. Wangabo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu na anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi Zelote Stephen ambaye amestaafu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Joackim Leonard Wangabo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Robert Gabriel Luhumbi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita. Kabla ya uteuzi huu Bw. Luhumbi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe na anachukua nafasi ya Meja Jen. Ezekiel Kyunga ambaye amestaafu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Robert Gabriel Luhumbi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe Bw. Gelasius Gasper Byakanwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Bw. Byakanwa alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai na anachukua nafasi ya Bi. Halima Dendego.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe Bw. Gelasius Gasper Byakanwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe.Bi. Christine Solomon Mndeme kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla ya kumbadilisha na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kubadilishana na Dkt. Bilinith Mahenge anayehamia Dodoma Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe.Bi. Christine Solomon Mndeme baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla ya kumbadilisha na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kubadilishana na Dkt. Bilinith Mahenge anayehamia Dodoma Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe.Bi.Suzana Mlawi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe.Bi.Suzana Mlawi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Dorothy Mwanyika kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Vingozi wakati wa hafla ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Joseph Kizito Malongo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimmkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhandisi Joseph Kizito Malongo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Simon S. Msanjila kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Madini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Prof. Simon S. Msanjila kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Madini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Thomas Didimu Kashililah kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya KilimoIkulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Dkt. Thomas Didimu Kashililah kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya KilimoIkulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Naibu Katibu Mkuu (Viwanda) – Ludovick J. Nduhiye (ATAAPISHWA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Naibu Katibu Mkuu (Viwanda) – Ludovick J. Nduhiye (ATAAPISHWA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe Dorothy Mwaluko kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe Dorothy Mwaluko kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Butamo Kasuka Phillipo kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Butamo Kasuka Phillipo kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu (Biashara na Uwekezaji) – Prof. Joseph Buchwaishaija

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka sahihi katika hati yake ya kiapo baadavya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu (Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Buchwaishaija

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe Nicholaus B. William kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli baada ya kumuapisha Mhe Nicholaus B. William kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Susana Mkap a kuwa Naibu Katibu Mkuu (Utawala) - Wizara ya Fedha na Mipango.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bi. Susana Mkap a kuwa Naibu Katibu Mkuu (Utawala) - Wizara ya Fedha na Mipango.

Waapishwa wakila kiapo cha miiko ya maadili ya vingozi wa umma

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongea machache

Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akiongea

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akitoa nasaha zake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli

Sehemu ya viongozi waandamizi wa nyanja mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu kiongozi wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa mbalimbali pamoja na wale aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu kiongozi wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa mbalimbali pamoja na wale aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu kiongozi wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa mbalimbali pamoja na wale aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu kiongozi wakiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa mbalimbali pamoja na wale aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan wakiwapongeza viongozi aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan wakiwapongeza viongozi aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam  Oktoba 28, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikoo na naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu anayeshughulikia walemavu Mhe Stella Alex Ikupa akiwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Juliana Shonza


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe Nicholaus B. William aliyemuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28, 2017. Kulia ni mke wa Mhe. William Bi. Foster Mbuna.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 28,
201

Wazira wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga akiteta jambo na Katibu Mkuu mpya wa wizara hiyo Prof. Adolf F. Mkenda (kati) na aliyekuwa Katibu Mkuu wizarani humo Dkt. Aziz Mlima. PICHA ZOTE NA IKULU


Hivyo makala Matukio : Taswira Mbalimbali ya Kuapishwa kwa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya

yaani makala yote Matukio : Taswira Mbalimbali ya Kuapishwa kwa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Taswira Mbalimbali ya Kuapishwa kwa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/matukio-taswira-mbalimbali-ya-kuapishwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Taswira Mbalimbali ya Kuapishwa kwa Makatibu wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya"

Post a Comment